Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika kwa hisia sana lakini kibano kitakatifu kipo palepaleNdivyo mitanzania ilivyo. Mijitu ya hovyo, unafiki, uzandiki, uchawi.
Wewe Ni kielelezo Cha mwanamke wa hovyo.
Hakuna utopolo mwenye maarifa!
Ila mnaipigania Sana brand ya Simba.
Simba ndiyo habari inayouza.
Yanga na Rivers utaandika Nini, vitimu vidogo, mashindano madogo.
Nionyeshe thread yako yyte inayozungumzia Yanga, huna kwasababu haiuzi. Nani anafuatilia Yanga na Hilo kombe la luzas.
Si Kamwe, Zeruzeru, mjinga yule Priva wote habari Ni Simba.
Nionyeshe threads humu mwanasimba anazungumzia utopolo.
Simba Ni next level! Simba Ni km maji, OKSIJENI.
SCHUPIDI, FUULISHI!
Watapewa thamanya [emoji16]Jinsi kuhesabu namba kiarabu[emoji39][emoji3][emoji1787]
واحد wahed. one.
اثنين ethnein. two.
ثلاثة thalatha. three.
أربعة arba-a. four.
خمسة khamsa. five.
ستة sitta. six.
سبعة sab-a. seven.
ثمانية thamanya. eight.
Asante sana kwa ushauri wako afande wa zenji [emoji41]Haya ni madhara ya kujifungia ndani peke ako na kupiga puri tafuta bwana akuzagamue