Simba sc ni klabu madhubuti ya mfano wa kuigwa nchini Tanzania

Simba sc ni klabu madhubuti ya mfano wa kuigwa nchini Tanzania

Jinsi kuhesabu namba kiarabu[emoji39][emoji3][emoji1787]
واحد wahed. one.
اثنين ethnein. two.
ثلاثة thalatha. three.
أربعة arba-a. four.
خمسة khamsa. five.
ستة sitta. six.
سبعة sab-a. seven.
ثمانية thamanya. eight.
 
Ndivyo mitanzania ilivyo. Mijitu ya hovyo, unafiki, uzandiki, uchawi.

Wewe Ni kielelezo Cha mwanamke wa hovyo.

Hakuna utopolo mwenye maarifa!

Ila mnaipigania Sana brand ya Simba.

Simba ndiyo habari inayouza.

Yanga na Rivers utaandika Nini, vitimu vidogo, mashindano madogo.

Nionyeshe thread yako yyte inayozungumzia Yanga, huna kwasababu haiuzi. Nani anafuatilia Yanga na Hilo kombe la luzas.

Si Kamwe, Zeruzeru, mjinga yule Priva wote habari Ni Simba.

Nionyeshe threads humu mwanasimba anazungumzia utopolo.

Simba Ni next level! Simba Ni km maji, OKSIJENI.

SCHUPIDI, FUULISHI!
Umeandika kwa hisia sana lakini kibano kitakatifu kipo palepale

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Jinsi kuhesabu namba kiarabu[emoji39][emoji3][emoji1787]
واحد wahed. one.
اثنين ethnein. two.
ثلاثة thalatha. three.
أربعة arba-a. four.
خمسة khamsa. five.
ستة sitta. six.
سبعة sab-a. seven.
ثمانية thamanya. eight.
Watapewa thamanya [emoji16]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
IMG_20230429_200940.jpg
 
Back
Top Bottom