Simba SC ni timu inayoendeshwa kwa propaganda sana

utopolo og

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
575
Reaction score
1,575
Wakuu tuweke mambo wazi.. Timu yetu ya Simba uwezo ni mdogo sana, wachezaji wengi ni wa viwango vya ndondo cup, Kwa kulitambua hilo uongozi wa Simba umewekeza zaidi kwenye propaganda zaidi maana inatambua mashabiki wake wengi ni mbumbumbu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Usishangae kuona nyuzi nyingi zinazofunguliwa humu jukwaa haziongelei performance ya uwanjani Bali ni mambo ya nje ya uwanja ili kutufanya washabiki wa Simba tusahau ubovu wa timu yetu.

Ushauri wa bure ni kuwa Sasa tukatae hizi propaganda tuhoji kwanini Kila siku timu yetu ya Simba inazidi kushuka kiwango??

Yaani Hadi hili kombe la mapinduzi nalo tumelikosa[emoji848][emoji848]????

Simba guvu moya[emoji123][emoji123][emoji123]
 
The Earth is not revolve around Simba always
 
Ni wakati muafaka sasa wa kuanza kuipekenyua mikataba ya wachezaji wa simba, ili tuujue ukweli. Haiwezekani wachezaji wamesajiliwa na timu, halafu wanacheza chini ya kiwango kiasi kile!

Inawezekana wachezaji wa nje kama Clotus Chama wanalipwa fedha nyingi, kuliko akina Kibu Dennis! Na ndiyo maana wanahangaika kujituma uwanjani, hata kama umri nao siyo rafiki kwao! Huku wale wengine wakiruka ruka tu uwanjani.
 
Naipenda Simba Ila Kuna Michezaji Pale Sielewi Kwann wapo Simba Mpaka Sasa
 
Garbage
 
Mpaka Sasa Hawa ndio wachezaj wanaostahili kubakia kweny klabu yetu.

1..Manula
2..beno
3.. kapombe
4.. tshabalala
5.. inonga
6.. onyango
7..muzamiru
8.. kanoute
9.. chama
10.saido
11.phiri
12.sakho
13.banda
14.okrah
15.kenned

Ni wachezaj 15 tuu
 
Mpaka Sasa Hawa ndio wachezaj wanaostahili kubakia kweny klabu yetu.

1..Manula
2..beno
3.. kapombe
4.. tshabalala
5.. inonga
6.. onyango
7..muzamiru
8.. kanoute
9.. chama
10.saido
11.phiri
12.sakho
13.banda
14.okrah
15.kenned

Ni wachezaj 15 tuu
Boko na hati tiriki zake zote tumuache?
 
Timu ndogo iko klabu bingwa??haya sawa utopolo
Hivi hamuoni kama timu inazidi kupata ukame wa vikombe?? Au mmeshakubali paka Samia atoke madarakani ndio tuwaulize kuhusu kombe eti????
Mnatia huruma sana aisee[emoji24][emoji24]
 
Mpaka Sasa Hawa ndio wachezaj wanaostahili kubakia kweny klabu yetu.

1..Manula
2..beno
3.. kapombe
4.. tshabalala
5.. inonga
6.. onyango
7..muzamiru
8.. kanoute
9.. chama
10.saido
11.phiri
12.sakho
13.banda
14.okrah
15.kenned

Ni wachezaj 15 tuu
Toa muzamiru hapo, toa Banda, toa onyango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…