utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Wakuu tuweke mambo wazi.. Timu yetu ya Simba uwezo ni mdogo sana, wachezaji wengi ni wa viwango vya ndondo cup, Kwa kulitambua hilo uongozi wa Simba umewekeza zaidi kwenye propaganda zaidi maana inatambua mashabiki wake wengi ni mbumbumbu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usishangae kuona nyuzi nyingi zinazofunguliwa humu jukwaa haziongelei performance ya uwanjani Bali ni mambo ya nje ya uwanja ili kutufanya washabiki wa Simba tusahau ubovu wa timu yetu.
Ushauri wa bure ni kuwa Sasa tukatae hizi propaganda tuhoji kwanini Kila siku timu yetu ya Simba inazidi kushuka kiwango??
Yaani Hadi hili kombe la mapinduzi nalo tumelikosa[emoji848][emoji848]????
Simba guvu moya[emoji123][emoji123][emoji123]