Simba SC pesa ziko wapi?

Simba SC pesa ziko wapi?

Tatizo hamfuatilii vitu mnasikiliza propaganda za nguruwe pori mo alishasema billion 20 zilinunuliwa treasure bond halafu faida au gawio kwa mwaka ndo linaenda simba kwa hyo billion 20 hajaweka cash kwenye account ila kwa kuwa yule mke wa hersi anadanganya watu basi mnasikiliza chochote anachosema.
Usikute hizo bond zinasoma jina lake. Simba wanachukua faida tu.
 
Back
Top Bottom