Simba Sc punguzeni mbwembwe za jezi, tunaoumia ni Uto

View attachment 2691977
View attachment 2691978
Waziri Masauni akiwa na kibegi

Jama kwenye hizi Mbwembwe tunaoumia ni Uto. Mpaka ifike ijumaa mtakuwa mmetuacha na vidonda vya tumbo
Hizo propaganda zinawaumiza nyie mashabiki wa Simba, Tokea muambiwe jezi zipo tayari ni zaidi ya mwezi sasa mnapigwa dana dana tu. Yanga wao walipotoa tangazo lao kuwa jezi zipo tayari ikathibitika kuwa zilikuwa tayari kweli. Hawakuchukua muda wakazindua. Hawana habari na jezi tena isipokuwa mashabiki wa Simba ndio hawana jezi. Kama point ni huyo waziri basi utakuwa ni mkosevu wa akili kujua kati ya raisi na waziri ni yupi kiongozi mkubwa. Jezi ya Yanga zimezinduliwa na maraisi wawili ikulu. Huyo aliyekuwa kwenye ndege boss wake ndiye aliyezindua jezi za Yanga. Endeleeni na wimbo wenu wa ndege, Yanga ameshatoka huko kwenye mambo ya jezi, hizo ni shida zenu wenyewe.
 
Maumivu umeyaonyesha kwenye kuandika waraka mreeeeefu. Pole mimi sikukutuma kuwa Uto
 
Yanga tumezindua jersey ikulu mbele ya Marais wawili na mapokezi makubwa

Simba mnaenda kuzindua jersey porini mbele ya fisi, nguchiro na mbwa mwitu

Itakuwaje mkifika huko kileleni mkaganda kwa baridi kali mkawa kama jiwe la chumvi au mara volcano ikalipuka mo akawa magma

Nyie mbumbumbu kuweni makini
Au mlirogwa mbona hata hamna tahadhari kabisa
 
Umemaliza kila kitu mkuu, kama ajaelewa basi mangungu aingie upya darasani kuwapiga msasa awa viumbe wake
 
Wasisahau kupanda na air freshner maana kuna watu waliacha nguo zina jasho kule, kutakuwa kunanuna uvundo.

Pia badala ya kuizindua jezi kwa kuishika, wakipanda juu na mwamba kama huyu wakamvalisha jezi watatisha sana. Au hiyo kazi tuwaachie watu wajenge ya kudumu. Kila jezi mpya ikitoka tunaenda kumbadilisha nguo tu.

 
Marasi bob marley na ras kiemba.AAH KUMBE MARAIS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…