Simba Sc punguzeni mbwembwe za jezi, tunaoumia ni Uto

Simba Sc punguzeni mbwembwe za jezi, tunaoumia ni Uto

Yaani Simba wanakera sana. Sasa imekuwa habari ni jersey Africa nzima. Inakera acheni hizo. Yaani utadhani mnataka kuvumbua jua au nyota. Sasa sisi Yanga tumebaki hata hatuelewi suala la kushika kwa sasa.
😂😂😂
 
Hahahaaa!
JamiiForums1345902037.jpg
 
Back
Top Bottom