T Tissaphernes JF-Expert Member Joined Mar 27, 2018 Posts 2,902 Reaction score 3,560 Jul 18, 2023 #21 Yanga hawakuzindua jezi, walikurupushwa wakagawa tu
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 23,620 Reaction score 52,790 Jul 18, 2023 #22 OKW BOBAN SUNZU said: View attachment 2691977 View attachment 2691978 Waziri Masauni akiwa na kibegi Jama kwenye hizi Mbwembwe tunaoumia ni Uto. Mpaka ifike ijumaa mtakuwa mmetuacha na vidonda vya tumbo Click to expand... Kibegi cha Jezi kimetrend kuliko tamasha la wiki ya wale jamaa zetu
OKW BOBAN SUNZU said: View attachment 2691977 View attachment 2691978 Waziri Masauni akiwa na kibegi Jama kwenye hizi Mbwembwe tunaoumia ni Uto. Mpaka ifike ijumaa mtakuwa mmetuacha na vidonda vya tumbo Click to expand... Kibegi cha Jezi kimetrend kuliko tamasha la wiki ya wale jamaa zetu
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,041 Reaction score 46,239 Jul 20, 2023 #23 Mtu Asiyejulikana said: Yaani Simba wanakera sana. Sasa imekuwa habari ni jersey Africa nzima. Inakera acheni hizo. Yaani utadhani mnataka kuvumbua jua au nyota. Sasa sisi Yanga tumebaki hata hatuelewi suala la kushika kwa sasa. Click to expand... πππ
Mtu Asiyejulikana said: Yaani Simba wanakera sana. Sasa imekuwa habari ni jersey Africa nzima. Inakera acheni hizo. Yaani utadhani mnataka kuvumbua jua au nyota. Sasa sisi Yanga tumebaki hata hatuelewi suala la kushika kwa sasa. Click to expand... πππ
K kyata JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 2,535 Reaction score 2,499 Jul 20, 2023 #24 OKW BOBAN SUNZU said: View attachment 2691977 View attachment 2691978 Waziri Masauni akiwa na kibegi Jama kwenye hizi Mbwembwe tunaoumia ni Uto. Mpaka ifike ijumaa mtakuwa mmetuacha na vidonda vya tumbo Click to expand... Nyie endeleeni na maigizo yenu, sisi tutawaonyesha kwa vitendo uwanjani. By the way, umemuona MVP?
OKW BOBAN SUNZU said: View attachment 2691977 View attachment 2691978 Waziri Masauni akiwa na kibegi Jama kwenye hizi Mbwembwe tunaoumia ni Uto. Mpaka ifike ijumaa mtakuwa mmetuacha na vidonda vya tumbo Click to expand... Nyie endeleeni na maigizo yenu, sisi tutawaonyesha kwa vitendo uwanjani. By the way, umemuona MVP?
KING KIGODA JF-Expert Member Joined Dec 28, 2018 Posts 3,893 Reaction score 3,145 Jul 20, 2023 #25 Hahahaaa!
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Jul 20, 2023 #26 KING KIGODA said: Hahahaaa!View attachment 2693929 Click to expand... ..