Simba SC, sasa ni pira full package a.k.a "pira makolokolo"

Simba SC, sasa ni pira full package a.k.a "pira makolokolo"

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
9,748
Reaction score
26,238
Simba nguvu moja,

Kwa usajiri huu wa msimu wa 2021/22 nachelea kusema kikosi kitapiga pira full package (all flavors inclusive = makolokolo kama yote).
Simba ile ilitupa ladha moja tuu "biriani" dunia ikashangaa na brand ikakua kwa speed ya foojii. Waarabu wakatetemeshwa, wakongoman wakagalagazwa, wasauzi wakajiuliza, waliobaki wakatukimbia.

Imagine sasa tutapiga pira ladha zote. Biriani - sambusa - pilau - wali mweupe - nyama choma - dona - nazi - kachori - urojo - samaki - makange - nyanya - karoti na kingine chochote kinachokuja kichwani kwako utapata. Namaanisha MAKOLOKOLO YOOOOOTEEEE utayapata unafikiri simba hii itashikika?

Mashabiki wa Simba tuendelee kufurahi kwani hii style ya Pira Makolokolo aka Pira full package (all flavors included) itazidi kutupa furaha huku vibwengo FC aka Mama J FC aka uto kama uto FC aka vyura FC aka manyani fc aka nimezisahau wakizidi kuduwaa.

Are we ready?
 
Sema pira mapochopocho, full ladha, hiyo makolokolo waachie misukule FC
 
Kwa kweli hilo pira package yake ni makolokolo kama yote, tuliwapigia biriani, sasa kwa kuwa tuna makolokolo yote ikiwamo biriani, ni kiasi tu cha kuamua tupige pira lipi!
 
Simba nguvu moja,

Kwa usajiri huu wa msimu wa 2021/22 nachelea kusema kikosi kitapiga pira full package (all flavors inclusive = makolokolo kama yote).
Simba ile ilitupa ladha moja tuu "biriani" dunia ikashangaa
Hongera kwa kupindua meza ya jina 🤣🤣🤣
 
Mpira wa kibongo ujanja ujanja TK Master, Kondeboy, Chama wameuzwa haifahamiki wameuzwa kwa bei gani, ujanja ujanja mwingi msemaji wa Simba kaishia kusema wameuzwa kwa bei nzuri.
 
Watamtimua manara chapu tu, kwamba kaenda kuwahujumu
Sasa Simba walidai Manara ana wahujumu, sasa siku Simba akifungwa anatafutwa mchawi mwengine badala ya Manara.Manake Simba haiamini mpira una matokeo matatu.
 
Back
Top Bottom