Simba SC si wakati wa lawama ni wakati wa kujipanga Upya

Simba SC si wakati wa lawama ni wakati wa kujipanga Upya

Ni kweli inatuuma
Lakini mimi naona ni wakati wa mwalimu sasa kujenga timu anayoitaka kwa msimu mzima tutumie usajili wa dirisha dogo kuziba mapengo.
Kisha usajili mkubwa kuingeza mtu mmoja au wawili sio lundo la wachezaji

Hapaswi kulaumiwa yeyote Timu imecheza vizuri kila mchezaji kajituma
Kocha kafanya sub nzuri tu
Bahati haikuwa upandw wetu

WE ARE SIMBA
NGUVU MOJA
MIKIA FC taabani.
 
Simba hata ligi hii ya vodacom hachukui!ubingwa pekee ambao simba atachukua ni wa kuongea hapa kahata pale shibobo kule chama pembeni wabrazil
 
simba walitegemea faida kupitia michuano hii kwa mapato ya uwanjani, kuuza jezi na kadi, fedha kutoka caf, wadhamini, kuuza wachezaji nje, gharama za usafiri ni ndogo mfano walivyoenda msumbiji wametumia sio zaidi ya milioni 100, wakati mapato ya uwanjani ni zaidi ya milioni 200, tayari hapo ni faida, sasa hivi mapato ya uwanjan yatapungua , hiyo ni hasara
Sipingani na hilo. Ila huenda hasara ingekuwa kubwa zaidi kama wangevuka hatua ya juzi kwa mbinde namna ile na wakatolewa mechi inayofuata. Kwa nini? Kwa sababu washabiki wasingeenda kwa wingi mechi ambayo ingefuata kwa kuwa watakuwa wameshatokwa na hali ya kuiamini timu yao na kwa hivyo hizo jezi na viashiria vyengine vya klabu visingenunuliwa kwa wingi. Wakati huo Mo akiwa tayari ameshagharimia kambi na usafiri wa timu kwenda kwenye mechi ya ugenini.
 
SSC ndiyo Club Bingwa wa Tanzania, ni lazima apewe heshima yake - Hao wanajidanganya baada ya kuvuka ka-round ka kwanza huo ubingwa wa Tanzania watausoma kwenye Whazup!!
 
Back
Top Bottom