🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu wewe itakua sio mtu wa boli,timu zinazocheza ligi moja,tofauti yake haiwezi kua MBINGU na ARDHI, simba,Yanga,Ken Gold,Pamba,zime tofautiana ubora ila zote zipo daraja Moja..Man city na Sheffield daraja moja japo city wakali sana..ila watoto wakiamka vizuri mkubwa anakaa,,,Bayern munich na Simba ndio Mbingu na ardhi..
Beti kistaarabu,
Nakuelewa vizuri na mpira naujua vema, tatizo ni mkeka mkuuMkuu wewe itakua sio mtu wa boli,timu zinazocheza ligi moja,tofauti yake haiwezi kua MBINGU na ARDHI, simba,Yanga,Ken Gold,Pamba,zime tofautiana ubora ila zote zipo daraja Moja..Man city na Sheffield daraja moja japo city wakali sana..ila watoto wakiamka vizuri mkubwa anakaa,,,Bayern munich na Simba ndio Mbingu na ardhi..
Beti kistaarabu,
Polee Mkuu, Simba sio wa kuwaaminiMkeka mkuu
Bado hamja ongea.........Nilitegemea Simba watapata ushindi tena mnono kulingana na status za timu zote mbili ni kama mbingu na ardhi,
Leo Simba wamenikera sana, mbaya zaidi wamenichania mkeka, nimekwazika mno.
Hata dabi ya October 19 nina wasiwasi inaweza kuahirishwa tofauti na hapo Simba inaweza kuchapwa kwa mara nyingine na Yanga.
Muda utaongea.
Soma Pia: FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024