GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa Taarifa ambazo nimezipata na GENTAMYCINE naendelea Kuzithibitisha ni kwamba Kitendo hiki cha Yanga SC Kumkataa Mwamuzi (Referee) Ahmed Aragije kutokea Mkoani Manyara kina Fumbo kubwa na Mtego kwa Simba SC.
Nimedokezwa (za chini chini) kuwa kutokana na Yanga SC (hasa kupitia Mdhamini wao Mkuu GSM) kuutaka Ubingwa huo wa ASFC ili Kuwanyamazisha Mashabiki wao na pia kuonyesha kuwa wanashiriki Michuano ya Kimataifa kwa Uwezo wao na siyo kwa Kubebwa na Simba SC iliyofanya vizuri Kimataifa Klabu na Mdhamini huyo wameshamalizana nae huyu Mwamuzi (Referee)
Taarifa zaidi zinaendelea kwamba Yanga SC walijua na wanajua kuwa Mwamuzi (Referee) huyu hatobadilishwa na TFF hivyo wameshamalizana na Kocha (kwa Kumuhonga) ila wao wanatuzuga kwa Kujifanya hawamtaki ili akiwabeba na wakishinda Mechi hiyo huu Ujanja wao usigundulike (usijulikane)
Nikiwa kama Mdau mkubwa wa Simba SC nitumie nafasi hii Kuwaonya Simba SC juu ya hili, walifuatilie Kiundani na tafadhali wawe makini nalo mno kwani Yanga SC safari hii wameamua hata Kupoteza (Kutumia) Pesa nyingi ili tu Mechi zao zote dhidi ya Simba SC washinde ili Kuwaaminisha Mashabiki wao na Migogoro isiibuke hasa katika Kuelekea Kwao katika Mabadiiko.
Nasisitiza Simba SC tuweni makini sana.