Simba SC tafadhali muonyeni upesi Nahodha John Raphael Boko aache Kuwaumiza akina Mugalu na Kagere kwa Miba (Ndumba)

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Sijaanza kupokea lawama zake juzi, jana au leo na bahati nzuri au sijui mbaya Mmoja wa Wachezaji wenzake pamoja na Ndugu wa Mtaalam wake wamenipa Taarifa kamili.

Naheshimu sana Uchezaji wa Nahodha wangu Boko ila sipendezwi na hii tabia yake ya kupenda Kuwaroga Wachezaji wenzake hasa wa Ushambuliaji ili wachemshe na Yeye aendelee kubakia kuwa juu japo ndiyo Mchezaji anayeongoza kwa kuwa na Pancha (Majeraha) yasiyotibika vyema ndani ya Kikosi ( Klabu )

Haiwezekani Wachezaji Mahiri katika Ushambuliaji kama Meddie Kagere na Chris Kopa Mushimba Mugalu Viwango vyao Vishuke ghafla kutokana na Kuwaharibu Kwake Kindumba (Kiulozi) wakati Klabu inaingia Gharama kubwa sana Kuwalipa Mishahara minono ( mikubwa ) tu.

Tafadhali Uongozi wa Simba SC muiteni chemba (pembeni) Nahodha John Raphael Boko na mwambieni aachane na Dhambi hizo kwa Wenzake na kwamba akiwaumiza hivyo Yeye anafaidika na Kufurahia ila kwa Timu yetu ya Simba anakuwa anaiathiri kwa namna moja au nyingine Kimafanikio ya Uwanjani.

Kwa ninavyomjua Mugalu si Mshambuliaji wa Kukosa Magoli katika Mechi ya Jana na AS Vita Club lakini hata Mechi zilizopita za Ligi Kuu ( VPL ) na kadhaa za Klabu Bingwa Afrika zilizopita.

Nina mengi ila tafadhali Nahodha John Raphael Boko aambiwe Ukweli huu na aache Kuwaumiza Wenzake kwani hata Wachezaji wenzake Waandamizi na Maswahiba zake ( ambao nawahifadhi ) Wanakereka nalo hili sana tu.
 
Ukiona mtu anaongelea uchawi kwenye soka, jua huyo ni mshirikina kupita kiasi, Kama wewe huyo, utakuwa unakesha kwa waganga muda wote, Acha kutuharibia morali tuliyo nayo kwenye timu yetu kwa kuanzia kupandikiza chuki Kwa wachezaji.
 
Ukome!! Wewe ni utopolo mkubwa! Umeiombea mabaya simba hujafanikiwa na Sasa umeamua kujaribu kupandikiza mbegu ya chuki miongoni mwa wachezaji!
Unajifanya Simba wakati Ni utopolo wa kunuka! Mwanga mkubwa weye!
Inakuuma Sana kuona mafanikio ya Simba wakati utopoloni kunanuka!! Ukome!
 
Ukiona mtu anaongelea uchawi kwenye soka, jua huyo ni mshirikina kupita kiasi, Kama wewe huyo, utakuwa unakesha kwa waganga muda wote, Acha kutuharibia morali tuliyo nayo kwenye timu yetu kwa kuanzia kupandikiza chuki Kwa wachezaji.
Halafu huyu Generalist Ni utopolo lakini anajifanya Simba na kuandikavitu vya ovyo. Ana maumivu makubwa na wivu wa kike kwa mafanikio ya Simba!
 
Huyu anayejiita Generalit, ndiyo huyo huyo hujiita All-Rounder!! Nyuzi zake na post zake kwenye michezo ni za kuona mabaya tu kwa Simba! Kila Simba inapocheza hubashiri na kuwangia Simba kushindwa! Kwa aibu siku hizi hujifanya eti mshabiki wa Simba! Lakini kila baada ya mechi na Simba kushinda hutoweka jukwaani kwa aibu!! Post yake ya juzi tu na Jana kabla ya mechi ni hii hapa, baada ya mechi utopolo huyu akala Kona. Post yake hii hapa:
Kwa Mpira ule mkubwa wanaoucheza AS Vita Club ambao hata Waarabu wenyewe na Mabingwa Afrika Al Ahly wamekiri kupata nao Taabu nimeamini kuwa nje ya Kucheza Mpira mwingi lakini hata Bahati nayo ina nafasi Kubwa mno katika Mafanikio (Ushindi) wa Mchezo wa Soka (Kabumbu) duniani.

Hofu yangu Kubwa tu ni kwamba kwa sasa Watanzania bado tupo katika Kipindi cha Maombolezo (Majonzi) ya Kufiwa na Hayati Mpendwa Rais wetu Dkt. Magufuli hivyo huenda Wapenzi wa Soka Tanzania na hasa wa Klabu ya Simba tusipojiandaa Kikamilifu kuwakabili AS Vita Club basi baada ya tarehe 3 April, 2021 tukawa na 'Double Majonzi' ya Kufiwa na Kiongozi na pia Kutotinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika.

Naiamini Klabu yangu ya Simba SC tena kwa 100% Ila kwa Mpira mwingi walionao AS Vita Club tukiwafunga au hata tu kutoka nao Sare ya Suluhu (bila bila) au Pacha (ya Magoli) hatimaye tukafuzu rasmi Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika nitaomba Serikali ya Tanzania itoe Tamko la kuwa na Public Holiday nchini.

Moyo wangu una Wasiwasi mwingi sana.
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:kelphin kepph, Smart911, Sibonike and 5 others
Da Gladiator
Da Gladiator
JF-Expert Member
Wednesday at 9:22 AM
Add bookmark
#2
Endelea kuwa wasiwasi ni jambo jema, tena usiishie kuwa na wasiwasi tu bali ongeza hofu na mashaka, ila tambua kwa mkapa hatoki mtu.
Thanks Quote ReplyReport
ThanksHaha Reactions:Bill, kelphin kepph, The real Daniel and 12 others
rodrick alexander
JF-Expert Member
Wednesday at 9:40 AM
Add bookmark
#3
Kuna watu walihisi hivyo walipoona mpira waliocheza Al Ahly na Bayern, AS Vita wamekuwa wakipata matokeo mazuri wanapocheza away lakini kama umegundua mpira wa sasa hivi ni mbinu zaidi nina imani na kauli ya kocha wetu aliyesema anaifatilia as vita kwenye mechi zake za nyumbani na mashindano ya Afrika.
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:kelphin kepph, Saguda47, Anigrain and 4 others
Mawawa
Mawawa
Senior Member
Wednesday at 11:01 AM
Add bookmark
#4
All - Rounder said:
Kwa Mpira ule mkubwa wanaoucheza AS Vita Club ambao hata Waarabu wenyewe na Mabingwa Afrika Al Ahly wamekiri kupata nao Taabu nimeamini kuwa nje ya Kucheza Mpira mwingi lakini hata Bahati nayo ina nafasi Kubwa mno katika Mafanikio ( Ushindi ) wa Mchezo wa Soka ( Kabumbu ) duniani.

Hofu yangu Kubwa tu ni kwamba kwa sasa Watanzania bado tupo katika Kipindi cha Maombolezo ( Majonzi ) ya Kufiwa na Hayati Mpendwa Rais wetu Dkt. Magufuli hivyo huenda Wapenzi wa Soka Tanzania na hasa wa Klabu ya Simba tusipojiandaa Kikamilifu kuwakabili AS Vita Club basi baada ya tarehe 3 April, 2021 tukawa na ' Double Majonzi ' ya Kufiwa na Kiongozi na pia Kutotinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika.

Naiamini Klabu yangu ya Simba SC tena kwa 100% Ila kwa Mpira mwingi walionao AS Vita Club tukiwafunga au hata tu kutoka nao Sare ya Suluhu ( bila bila ) au Pacha ( ya Magoli ) hatimaye tukafuzu rasmi Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika nitaomba Serikali ya Tanzania itoe Tamko la kuwa na Public Holiday nchini.

Moyo wangu una Wasiwasi mwingi sana.
Click to expand...Walishinda ngapi?
Thanks Quote ReplyReport
Generalist
Generalist
JF-Expert Member
Wednesday at 11:05 AM
Add bookmark
#5
Mawawa said:
Walishinda ngapi?

Kama zile ulizokojolewa na Basha wako.
Thanks Quote ReplyReport
FRESHMAN
JF-Expert Member
Wednesday at 11:05 AM
Add bookmark
#6
As vita hii ya shishimbi hakuna timu pale, ilifungwa na al ahly 3-0 kwake kinshasa kama imesimama..

Simba pia kamfunga pale pale Kinshasa...

Mimi mwanayanga...ila simba na vita kwa mkapa.. matokeo nayajua kabisa... vita hawezi pata point 3 kwa mkapa hata iweje
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:Amanito, ngosha wa mwanza, Malimi Jr and 13 others
Thegame
JF-Expert Member
Wednesday at 11:07 AM
Add bookmark
#7
rejea marudio ya vita na simba huko kinshasa halafu endelea kuogopa
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:Saguda47, mwanaspotiapp, Vyamavingi and 1 other person
Generalist
Generalist
JF-Expert Member
Wednesday at 11:26 AM
Add bookmark
#8
FRESHMAN said:
As vita hii ya shishimbi hakuna timu pale, ilifungwa na al ahly 3-0 kwake kinshasa kama imesimama..

Simba pia kamfunga pale pale Kinshasa...

Mimi mwanayanga...ila simba na vita kwa mkapa.. matokeo nayajua kabisa... vita hawezi pata point 3 kwa mkapa hata iweje
Click to expand...
Hakuna Watu Wanafiki kama wa Yanga.
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions😛TER
Generalist
Generalist
JF-Expert Member
Wednesday at 11:30 AM
Add bookmark
#9
Thegame said:
rejea marudio ya vita na simba huko kinshasa halafu endelea kuogopa

Usipokuwa na Jicho la Kiufundi na pengine hata huko nyuma hukuwahi au pia hujawahi Kucheza Mpira wa Mashindano yoyote yanayotajwa ikawa ama Kitaifa, Kitaasisi na Kimataifa kamwe hutoweza Kunielewa Kimantiki na Kiuchambuzi All - Rounder Mimi. Pole!!
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:Bila bila
Thegame
JF-Expert Member
Wednesday at 11:33 AM
Add bookmark
#10
All - Rounder said:
Usipokuwa na Jicho la Kiufundi na pengine hata huko nyuma hukuwahi au pia hujawahi Kucheza Mpira wa Mashindano yoyote yanayotajwa ikawa ama Kitaifa, Kitaasisi na Kimataifa kamwe hutoweza Kunielewa Kimantiki na Kiuchambuzi All - Rounder Mimi. Pole!!
huna chochote unachokijua, hao vita hata waombe wachezaji wa tp mazembe waunganishe nguvu pamoja na wachezaji wa yanga, hapo kwa mkapa hawatoki.
Thanks Quote ReplyReport
ThanksHaha Reactions:M2baki, Saguda47, Anigrain and 5 others
Generalist
Generalist
JF-Expert Member
Wednesday at 11:41 AM
Add bookmark
#11
Thegame said:
huna chochote unachokijua, hao vita hata waombe wachezaji wa tp mazembe waunganishe nguvu pamoja na wachezaji wa yanga, hapo kwa mkapa hawatoki.

Morons wakichangia huwa nafurahia tu.
Thanks Quote ReplyReport
kina kirefu
JF-Expert Member
Wednesday at 11:42 AM
Add bookmark
#12
Kifo cha magufuli na mpira wapi nawapi.....

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Thanks Quote ReplyReport
ThanksHaha Reactions:Saguda47, shungurui and Generalist
desayi
desayi
JF-Expert Member
Wednesday at 11:45 AM
Add bookmark
#13
Wa kawaida tu wangekuwa wazuri wangekuwa na point4
Thanks Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:You and koboG
Root
Root
JF-Expert Member
Wednesday at 11:57 AM
Add bookmark
#14
Twataka Draw tu
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:nguvu
Justen12
Justen12
Member
Wednesday at 12:30 PM
Add bookmark
#15
All - Rounder said:
Kwa Mpira ule mkubwa wanaoucheza AS Vita Club ambao hata Waarabu wenyewe na Mabingwa Afrika Al Ahly wamekiri kupata nao Taabu nimeamini kuwa nje ya Kucheza Mpira mwingi lakini hata Bahati nayo ina nafasi Kubwa mno katika Mafanikio (Ushindi) wa Mchezo wa Soka (Kabumbu) duniani.

Hofu yangu Kubwa tu ni kwamba kwa sasa Watanzania bado tupo katika Kipindi cha Maombolezo (Majonzi) ya Kufiwa na Hayati Mpendwa Rais wetu Dkt. Magufuli hivyo huenda Wapenzi wa Soka Tanzania na hasa wa Klabu ya Simba tusipojiandaa Kikamilifu kuwakabili AS Vita Club basi baada ya tarehe 3 April, 2021 tukawa na 'Double Majonzi' ya Kufiwa na Kiongozi na pia Kutotinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika.

Naiamini Klabu yangu ya Simba SC tena kwa 100% Ila kwa Mpira mwingi walionao AS Vita Club tukiwafunga au hata tu kutoka nao Sare ya Suluhu (bila bila) au Pacha (ya Magoli) hatimaye tukafuzu rasmi Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika nitaomba Serikali ya Tanzania itoe Tamko la kuwa na Public Holiday nchini.

Moyo wangu una Wasiwasi mwingi sana.
Click to expand...Staili zote za uto tunazijua jifanye kujificha tena
Thanks Quote ReplyReport
Thanks Reactions:Saguda47, shungurui and rodrick alexander
ze-dudu
ze-dudu
JF-Expert Member
Wednesday at 12:35 PM
Add bookmark
#16
All - Rounder said:
Kwa Mpira ule mkubwa wanaoucheza AS Vita Club ambao hata Waarabu wenyewe na Mabingwa Afrika Al Ahly wamekiri kupata nao Taabu nimeamini kuwa nje ya Kucheza Mpira mwingi lakini hata Bahati nayo ina nafasi Kubwa mno katika Mafanikio (Ushindi) wa Mchezo wa Soka (Kabumbu) duniani.

Hofu yangu Kubwa tu ni kwamba kwa sasa Watanzania bado tupo katika Kipindi cha Maombolezo (Majonzi) ya Kufiwa na Hayati Mpendwa Rais wetu Dkt. Magufuli hivyo huenda Wapenzi wa Soka Tanzania na hasa wa Klabu ya Simba tusipojiandaa Kikamilifu kuwakabili AS Vita Club basi baada ya tarehe 3 April, 2021 tukawa na 'Double Majonzi' ya Kufiwa na Kiongozi na pia Kutotinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika.

Naiamini Klabu yangu ya Simba SC tena kwa 100% Ila kwa Mpira mwingi walionao AS Vita Club tukiwafunga au hata tu kutoka nao Sare ya Suluhu (bila bila) au Pacha (ya Magoli) hatimaye tukafuzu rasmi Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika nitaomba Serikali ya Tanzania itoe Tamko la kuwa na Public Holiday nchini.

Moyo wangu una Wasiwasi mwingi sana.
 
We jamaa una ID ngapi?
Msalimie Gentamycin aka all rounder
Huyu mwanga ndivyo alivyo!! Siku hizi amekuja na staili ya kujifanya eti naye Ni Simba wakati hata mwandiko wake tu unanuka utopolo!!
Sasa ameamua kuloga kwa kujaribu kupandikiza chuki na shuku mbaya miongoni mwa wachezaji wa Simba!! Hatafanikiwa hata kidogo. Na kwa kuwa tumemshitukia mapema hata huu uzi atautelekeza Kama afanyavyo siku zote!
 
Simba waachane na Boko siyo kwa ishu ya uchawi bali kutokana na majeraha yake ya mara kwa mara watoe nafasi kwa mtu mwingine
 
Ila wewe dogo una mambo ya kikuwadi sana..akili zako zimejaa uchawi uchawi tu, juzi pamoja na kubadili ID yako ukasema vita anamfunga simba, leo unasema mugalu analogwa, hizi akili mara nyingi ni za walevi
 
Ukiona mtu anaongelea uchawi kwenye soka, jua huyo ni mshirikina kupita kiasi, Kama wewe huyo, utakuwa unakesha kwa waganga muda wote, Acha kutuharibia morali tuliyo nayo kwenye timu yetu kwa kuanzia kupandikiza chuki Kwa wachezaji.
Huyu sio shabiki wa simba ni takataka fulani tu ambayo hatujui imetoka wapi
 
Shida kubwa kwa huyu multiple IDs ni kujiona mchambuzi wa wachambuzi
 
Ukiwa blessed Intellectually na Mwenyezi Mungu kwanini nisijione bora na hata nisitambe kabisa? Tena najiamini 100% kuwa Kichwani Mwenyezi Mungu alinipendelea sana na ninamshukuru vilivyo kwa hilo.

Kumbe Mtu awali Kujiita All - Rounder na akaamua Kuirekebisha ID yake na sasa kujiita Generalist ( maneno ambayo yana maana sawa ) ndiyo kuambiwa una Multiple ID"s?

Kwahiyo nyie mna Akili kuliko Uongozi husika wa JamiiForums ulioweka Kipengele cha Mtu kubadili ID yake pale tu akiona inafaa?

Sasa kama ni Dhambi ( Kosa ) kwa Kubadili ID mbona kabla ya Kuomba kubadili Kwanza umawataarifu na kuwapa sababu ili wajiridhishe nayo kisha wanaamua Kukubali au Kukataa?

Mpaka mmeona wamekubali nibadili kutoka All - Rounder na kujiita sasa Generalist hivi jua ( jueni ) wameshajiridhisha na Mimi na wala hawana shida nami isipokuwa mnasumbuliwa tu na Ushamba pamoja na Upumbavu wenu wa Kurithishwa na Koo zenu zenye Roho ya Kutu na Uswahili.

Kuna ID nyingine ya sijui GENTAMYCINE mnayonihusisha nayo Kutwa. Tafadhali ambaye anaiona anionyeshe kwani Mimi naitafuta na wala siioni.

Fikisha Ujumbe huu kwa Majuha Wenzako wote ambao mnaacha Kujadili Mada ( Uzi ) husika na mmejikita tu katika ID yangu utadhani ndiyo huwa inawapeni Mimba 24/7.
 
Sijaanza kupokea lawama zake juzi, jana au leo na bahati nzuri au sijui mbaya Mmoja wa Wachezaji wenzake pamoja na Ndugu wa Mtaalam wake wamenipa Taarifa kamili.

Naheshimu sana Uchezaji wa Nahodha wangu Boko ila sipendezwi na hii tabia yake ya kupenda Kuwaroga Wachezaji wenzake hasa wa Ushambuliaji ili wachemshe na Yeye aendelee kubakia kuwa juu japo ndiyo Mchezaji anayeongoza kwa kuwa na Pancha (Majeraha) yasiyotibika vyema ndani ya Kikosi ( Klabu )

Haiwezekani Wachezaji Mahiri katika Ushambuliaji kama Meddie Kagere na Chris Kopa Mushimba Mugalu Viwango vyao Vishuke ghafla kutokana na Kuwaharibu Kwake Kindumba (Kiulozi) wakati Klabu inaingia Gharama kubwa sana Kuwalipa Mishahara minono ( mikubwa ) tu.

Tafadhali Uongozi wa Simba SC muiteni chemba (pembeni) Nahodha John Raphael Boko na mwambieni aachane na Dhambi hizo kwa Wenzake na kwamba akiwaumiza hivyo Yeye anafaidika na Kufurahia ila kwa Timu yetu ya Simba anakuwa anaiathiri kwa namna moja au nyingine Kimafanikio ya Uwanjani.

Kwa ninavyomjua Mugalu si Mshambuliaji wa Kukosa Magoli katika Mechi ya Jana na AS Vita Club lakini hata Mechi zilizopita za Ligi Kuu ( VPL ) na kadhaa za Klabu Bingwa Afrika zilizopita.

Nina mengi ila tafadhali Nahodha John Raphael Boko aambiwe Ukweli huu na aache Kuwaumiza Wenzake kwani hata Wachezaji wenzake Waandamizi na Maswahiba zake ( ambao nawahifadhi ) Wanakereka nalo hili sana tu.
Huu mwandiko kama naujua?? Sio genta... Huyu?? Au all round....??
 
Back
Top Bottom