Simba SC Tanzania yamtambulisha kocha mpya Robertinho


Ndio Mumtambulishe Kwenye Gereji Ya Mafuso? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
wanadharau makocha wa ndani, Mgunda kakosea wapi? Badala ya kusajili wachezaji tunasajili kocha
Wakati mgunda Anaenda simba alishaambiwa kabisa kua ataiongoza timu kwa mda wkt zoez la kutafuta kocha mkuu likiendelea na hvo bas ujio huu sio na haiwez kua surprise kwa mgunda kwa sababu aliutambua tangu mwanzon,,

Sasa hyo dharau unayoizungumzia ww ni ipi hapo????
 
Rafiki wa karibu wa oele...asije kusingizia kwamba alikua kwenye msiba..yaani ushauri wa muhimu ni aje na nguo chache na asihangaike kuleta familia yake huku 🥰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…