Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manzokini hyped sana atapoteaBinafsi nilikuwa namuona Mgunda kama anatosha ila nadhani management ilifika angle hiyo thats why ikaona umuhimu wa kuleta kocha mpya...
MakaburiniHapi walipofanya utambulisho ni gereji au yard ya magari?
Inategemea na timu na aina ya wachezaji anaokwenda kuwaelekeza.. Mchezaji mkubwa anataka afundishwe na kocha mkubwa na mwenye mafanikio.Mgunda kuwa kaimu kocha ni kujidumaza.
Wahuni tu juzi, Mo kaweka kura twitter eti tunahitaji kocha mpya au La? Badala ya kufanya analysis ya kitaalam.Du Mgunda pole sana, ulikuwa na Takwimu nzuri sana. Ila ndio asili ya mtu mweusi ungekuwa kocha wa rangi nyeupe kwa Takwimu hizo wala usingefukuzwa Bali wangeweka nguvu kusajili wachezaji wazuri.
Yanga inaongozwa na mzawa au mnasahau mlimwacha mwambusi mkaleta kocha mgeniTuna kasumba ya kuwaamini zaidi wageni kuliko wazawa. Ila ki takwimu Mgunda alikuwa ni kocha aliyefanya vizuri mpaka sasa kwanzia klabu bingwa hadi ligi kuu...
Huyo saa 9 njoo yanga app anatangazwa 😅Bado bobos
Makolo hawajui hiloYIKPE alisema anaweza kufunga Magoli 40, Sserunkuma alisema atafunga si chini ya kamba 30, Mavugo nae alisema hivyo, Balinya alisema asipofikisha goli 35 aulizwe yeye.
Mpira ni Zaidi ya maneno.
Duuh ndio mara ya kwanza nakuona unakosoa timu yakoBado tunakoloniwa mpaka sasa na huu ndo ukoloni mambo leo...
Kwani hukusikia kuwa Mgunda aliletwa kama kocha wa muda?!Na Mgunda Jee?
Huyo aliletwa kama kocha wa muda tangu mwanzo, na ilikuwa inajulikana kabisa kuwa anasakwa kocha wa kudumu. Tatizo wabongo tunajisahau, yaan kwavile anashinda shinda tunajisahau. Mambo yakiharibika ndio tunakurupuka na matusi juu.Kwanini tunamdharau Mgunda? Kaikuta timu katikati ya Ligi kaipeleka mpaka makundi ya CAF viongozi wetu wapuuzi sana
Na Hersi alisema msipochukua kombe aulizwe yeyeYIKPE alisema anaweza kufunga Magoli 40, Sserunkuma alisema atafunga si chini ya kamba 30, Mavugo nae alisema hivyo, Balinya alisema asipofikisha goli 35 aulizwe yeye.
Mpira ni Zaidi ya maneno.
Anatosha wakati kuna mechi timu imedondosha point kijinga tu. Timu imezidiwa, yeye kaweka tu mikono mifukoni. Mfano ile sare ya kmc mbili mbili tena taifa, mko mbele mbili bila zinachomolewa. Na mbeya city mnaongoza moja bila mnachomolewa ndio anahangaika kufanya sub, wakati timu ilipoteana muda mrefu hadi inasawazishiwa goli. Aliigeuza Simba kuwa sawa na coast. Tofauti ya point zilikuwa mbili, badala ya kupungua, zimezidi sasa ni saba!! Apumzike kidogo ajifunze.Leteni wachezaji,mgunda anatosha