Simba SC Tanzania yamtambulisha kocha mpya Robertinho

Simba SC Tanzania yamtambulisha kocha mpya Robertinho

Binafsi nilikuwa namuona Mgunda kama anatosha ila nadhani management ilifika angle hiyo thats why ikaona umuhimu wa kuleta kocha mpya.

Manzoki moja ya ahadi yake alisema akiwa na kocha wake (ambaye ndio huyu) asipokuwa top scorer kwenye ligi yetu basi atarudisha pesa zote za usajili

Ni swala la muda tu Manzoki anatua unyamani.
 
Wenye Nongwa malalamiko yenu ya kuwa Simba SC [emoji881] imeazima kocha kutoka Coastal, yamefanyiwa kazi

Mwamba huyu hapa Roberto Robertinho Oliveira kavunja mkataba Vipers SC, ndo akaja huku kwenye Klabu Kubwa Simba SC.

"Nimekubaliana changamoto mpya, ukiwaza makubwa utafanya makubwa, malengo ni kufika nusu fainali na hata fainali inawezakana" Kocha Mkuu wa Simba SC Oliveira.

20230103_125623.jpg
 
Yaaan Timu zetu hizi kubwa bila kuwa na makocha weupe wanaona bado kabisa..
Mgunda nawe amsha tafuta Timu chap, usibaki hapo kama msaidizi
Pep aliazimwa.
Kitu kikiazimwa baada ya matumizi kinarudishwa kwao.
 
Unamaana gan kusema tunamdharau?, wewe na nan mnaomdharau? Timu kupata kocha mkuu ni kumdharau kaimu kocha mkuu?
Sababu zipi zimepelekea apewe boss mpya? Unafikiri kufuzu makundi ya CAF ni jambo dogo? Kocha aliyekuja ni mzuri lakini tatizo letu ni kukurupuka hatutulii na kocha mmoja,Mgunda angeaminiwa na kupewa wachezaji wazuri
 
Bado tunakoloniwa mpaka sasa na huu ndo ukoloni mambo leo...
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Hata Mgunda asingekuwepo , Simba SC kuingia makundi CAFCL ni kawaida japo kuna wakati mazoea yanatuponza.
Hata wewe ukiwa kocha Simba inaweza kwenda Makundi 😂😂
 
Back
Top Bottom