Kwa sababu bodi ya ligi na TFF wameshindwa kuendesha ligi kwa kuipendelea Yanga. Maumuzi watakayofanya juu ya sakata hili ni ya kukurupuka ili kumfurahisha baadhi ya vigogo huko serikalini.
Hivyo Simba SC isitishwe na uamuzi wowote hasi kuja kwao ila uamuzi wa club ueleweke mapema BILA Yanga kuadhibiwa kwa kuharibu ratiba ya mazoezi ya club ya Simba, Simba SC haipo tayari kutekeleza adhabu yoyote.
Wakilazimisha Simba SC anza kutafuta nchi inayoweza kukupokea ili ushiriki ligi ya huko kwao.
Kwa ukubwa wa club ya Simba ligi ya South Africa au Nigeria au Angola inaweza kuwa ni kipimo tosha kushiriki ligi hiyo.
Mashabiki wa Simba SC tutawafata huko huko ili mtupunguzie figisu za kisiasa kwenye mpira mara "goli la mama" mara kulazimishwa kushiriki kombe la mapinduzi huku kombe la uhuru wa Tanganyika halipo. Mara mapicha picha ya rais kwenye viwanja vya michezo.
Hii kauli ya UBAYA UBWELA LAZIMA ITEKELEZEKE IPASAVYO KUANZIA SASA TUHAME LIGI TU.