American Dream
JF-Expert Member
- Mar 18, 2022
- 313
- 352
Habari wadau!!! Naenda Moja kwa Moja kwenye mada kama kichwa Cha habari kinavyojieleza;
Mpaka Sasa Simba Sports Club ni timu pekee kwa Tanzania inayokuza ligi ya Tanzania na kuipa hadhi hata nchi za jirani kama Malawi, Zambia, Zimbabwe hapo sijaweka East Africa.
Inaiwakilisha Tanzania kimataifa na hata ukitaja top 20 clubs in Africa huikosi mana inashika nafasi ya 15 kiubora.
Wapinzani watapinga lakini ndio ukweli wakati mwingine tukubali ukweli.