hatari kubwa joombaa hata huko Ghana as kotoko wanashangilia, kwenye page ya insta ya as vita nao wanashangilia ,habari ni ya moto bado ndo kwanza ina masaa mawili
Mabingwa wa nchi Simba tumemalizana rasmi na kiungo wa kimataifa wa Mozambique, Luis Jose Miquissone ambae alikuwa mchezaji wa Mabingwa wa nchi hiyo UD Songo. Kiungo huyo tayari amekabidhiwa jezi na kocha wetu mkuu Sven Vandenbroeck kama inavyoonekana pichani. #NguvuMoja Simba Sports Club on Twitter