Simba SC timu ya 16 kwa ubora Afrika

Simba SC timu ya 16 kwa ubora Afrika

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Everybody say yeeeeeeehhhh breaking news la motomoto lina one hour tu, simba sc team ya 16 kwa ubora Africa ipo ndani ya game la PES 2020

Africa zipo teams za maana 51 tu, vigogo vya Africa only siyo makwasukwasu

Screen Shot 2020-01-01 at 9.59.50 PM.png
 
Yeyote anaejua kwa hili tukio la simba kuwa kwenye video game amelipwa bei gani atuambie
 
Mabingwa wa nchi Simba tumemalizana rasmi na kiungo wa kimataifa wa Mozambique, Luis Jose Miquissone ambae alikuwa mchezaji wa Mabingwa wa nchi hiyo UD Songo. Kiungo huyo tayari amekabidhiwa jezi na kocha wetu mkuu Sven Vandenbroeck kama inavyoonekana pichani. #NguvuMoja Simba Sports Club on Twitter
 

Attachments

  • IMG_20200103_153716.jpg
    IMG_20200103_153716.jpg
    86 KB · Views: 2
Back
Top Bottom