GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
GENTAMYCINE najuta ni kwanini wakati nacheza Mpira kwa Ngazi za Shule O level na A level achilia mbali Ligi Daraja la Tatu Mkoa pamoja na Ndondo hasa nafasi yangu ya Beki wa Namba Mbili, Beki wa Kati Namba Nne na Kiungo Mkabaji Namba Sita sikuwa najjrekodi ili iwe Somo kwa Wachezaji lonyo lonyo wa Simba SC ambao wanalia Kuchezewa Rafu mbaya na Timu Pinzani ili Wajifunze na Waige.
Nikiwa kama Mtaalam wa Kucheza Rafu za Akili ambazo kamwe Mwamuzi hatoona na Mlengwa ni lazima ataumia na kutoka Nje kabisa bado sijaona Rafu ya maana na mbaya ambayo Wachezaji wa Simba SC wanachezewa na Kudekadeka / Kulialia kila mara.
Tena niwaambie tu Wachezaji Wadekaji, Waoga na wa Kulialia wa Simba SC kuwa Rafu mbaya zilikuwa ni Miaka yetu ya 80, 90 na zikaja kumaliziwa na akina Pawassa na Emmanuel Gabriel 'Batgol' miaka ya mwanzoni ya 2000 lakini bado kilikuwa Kinapigwa vile vile.
Kama vipi Uongozi wa Simba SC niandalieni GENTAMYCINE Session Maalum ya Kuwafundisha Rafu Mbaya na Kali Wachezaji wetu ili wawe Wanazitumia kwa Wapinzani Wao pale tu Wakianzwa na mtanikumbuka na Watanishukuru.
Na Rafu nitakazowafundisha ni Saba tu
1. Nnge / Chai
2. Chomeka
3. Finya
4. Ndosi
5. Tandika Reli
6. Tuheshimiane
7. Bruce Lee
Simba SC Waambieni Wachezaji wetu Wagangamale na Wao Walipize hizo Rafu wanazochezewa kama hawawezi na Wanaogopa basi Wanyamaze tu kwani Wanatuboa kwa huku Kulialia Kwao kila Kukicha.
Yaani Mimi unichezee Rafu nikuache?