GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Wachezaji watatu (siwataji) nimethibitishiwa na mtu wa ndani kuwa watasajiliwa na nimetumia siku tatu kuwatizama mmoja mmoja kwa utaalam wangu wa mpira na jicho la kuujua mpira na mchezaji sijaona hata mmoja anayetufaa Simba SC na kwa huu mtindo wa 10% ulioko Simba SC, najua watasajiliwa tu.
Tuendeleeni tu kushangilia Kocha Nabi kuondoka, Kocha wa Viungo wa Yanga SC kuondoka, Wachezaji Mshambuliaji Mayele na Kipa Diara kutaka kuondoka, huku sisi tukisajili kiboya (kipumbavu) halafu Ligi ikianza Yanga SC wakiwa wanashinda na kuchukua Makombe kama kawaida yetu tukimbilie kusema Yanga SC wanabebwa, wananunua Mechi na Serikali inawapendelea.
Mimi ninawaangalieni tu mkipotea.