Simba SC tuiandae Timu Kisayansi kucheza na Al Ahly na tusijiamini kwa Kutegemea tu Waganga wa Tanga, Morogoro, Kigoma na Zanzibar

Hao waganga huwa nawaona kama wachawi fulani hivi, ni wapuuzi, wanaendeleza ushirikina kwenye mpira wa kisayansi. Kwanza uwepo wao ni nuksi kwa timu
 
We nidharau tu,ahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…