Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Mkuu, kwani na wewe ni kiongozi wa Simba? Maana unatumia nafsi ya kwanza uwingi, yaani 'tulikuwa', 'tusitishe', as if na wewe upo kwenye bodi ya Wakurugenzi. Kama upo kwenye uongozi, hongera na tunashukuru kwa kusitisha mlichokuwa mmeamua mwanzo, ila kama wewe ni shabiki tu, usitumie neno 'tulikuwa', maana haupo kwenye uongozi na uongozi wa simba unaotambulika haukuwahi kutamka hiliThadeo Lwanga ilikuwa tusitishe mkataba wake mwezi huu kutokana na jeraha lake kuchelewa kupona na tulikuwa tayari kutafuta mbadala wake ila daktari ametuhakikishia atakuwa amepona kufikia mwisho wa mwezi huu (January)” amesema Ahmed Ally.