OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Naambiwa hapa hata Mdhamini Mkuu hakushirikishwa. Yeye kahoji kimya kimya asiharibu hali ya hewa. Hivi viongozi wa hovyo kama hawa wataisha lini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kujilisha upepoNyie msitafute sababu za kutoleta timu uwanjani.Njoon mle za kutosha acheni kutapatapa[emoji1787][emoji1787]
Mashindo ndio nini. Acha kula ganja chooni akili zako zitajaa funza oh!!Azam ana timu ila anamashindo ya Azam Confederation mbona hili watu hawaoji
Ankoo huko ulikotoka kabla hujarudi rejea PSL South Africa, DSTV premier league na wana timu ligi kuu inaitwa Supersport Utd.Azam ana timu ila anamashindo ya Azam Confederation mbona hili watu hawaoji
Kama ungekuwa unajua kiingereza, usingezungumzia masuala ya kuleta timu uwanjani 😛😛😛Nyie msitafute sababu za kutoleta timu uwanjani.Njoon mle za kutosha acheni kutapatapa🤣
Alafu hayo magoli atayafunga nani ?!Nyie msitafute sababu za kutoleta timu uwanjani.Njoon mle za kutosha acheni kutapatapa🤣🤣
Uwa naamini mtu aliepo hapa jf ana uelewa mzuri,ila ukisoma maoni ya baadhi ya watu kama wewe, uwa nawadharau sana,hivi ujui kuwa Azam media ltd,na Azamfc ltd ni kampuni mbili zinazofanya biashara tofauti?! Au wewe ndio mafanikio ya shule za kata katika ule mpango wa k tatu! Kusoma kuandika kuesabu?Azam ana timu ila anamashindo ya Azam Confederation mbona hili watu hawaoji