GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama Morrison alivyowashika makalio kina Injinia na bado wakamrudisha tena....alivyotemwa na Simba....Tatu malogo SC hawana cha kumfanya Chama, hata akimshika makalio mwamedi bado watamwomba msamaha tu chama
Kasema watawasili j5Msemaji wa club kasema wachezaji waliokua kwenye timu za taifa wanaanza kuwasili leo
Wewe unatoka kunya huko bila kutawaza unakurupuka na makimba yako na kubwatabwata hovyo kama nyau
Kasema watawasili j5, wachezaji waliokuwa AFCON isipokuwa Inonga ambaye timu yak imefuzu
Kasema watawasili kuanzia leo j4, elewa neno kuanzia leoKasema watawasili j5
Simba ndogo sana kwa Chama, kama unabisha tutaonaTokea juzi kataarifiwa arejee Kambini kuungana na Wenzake Yeye kwa dharau hadi muda huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi hajaenda na yuko Kisiwani Zanzibar amekula tu Bata (Starehe) na Mademu wa Kitalii ambao huwa anawapenda hakuna mfano.
Chama tumekuvumilia vya kutosha tafadhali achana na Simba SC na nenda huko Yanga SC wanakokupa hiki Kiburi chote sawa?
Tumuache CCC apumie jamani khaaaTokea juzi kataarifiwa arejee Kambini kuungana na Wenzake Yeye kwa dharau hadi muda huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi hajaenda na yuko Kisiwani Zanzibar amekula tu Bata (Starehe) na Mademu wa Kitalii ambao huwa anawapenda hakuna mfano.
Chama tumekuvumilia vya kutosha tafadhali achana na Simba SC na nenda huko Yanga SC wanakokupa hiki Kiburi chote sawa?
Umeshawapa ule uwanja wako waje wafanye mazoezi hapo? Elewa neno uwanjaTokea juzi kataarifiwa arejee Kambini kuungana na Wenzake Yeye kwa dharau hadi muda huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi hajaenda na yuko Kisiwani Zanzibar amekula tu Bata (Starehe) na Mademu wa Kitalii ambao huwa anawapenda hakuna mfano.
Chama tumekuvumilia vya kutosha tafadhali achana na Simba SC na nenda huko Yanga SC wanakokupa hiki Kiburi chote sawa?
nahisi hawana mchezaji mwenye uwezo kama wakeTokea juzi kataarifiwa arejee Kambini kuungana na Wenzake Yeye kwa dharau hadi muda huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi hajaenda na yuko Kisiwani Zanzibar amekula tu Bata (Starehe) na Mademu wa Kitalii ambao huwa anawapenda hakuna mfano.
Chama tumekuvumilia vya kutosha tafadhali achana na Simba SC na nenda huko Yanga SC wanakokupa hiki Kiburi chote sawa?
Kauli ya CDF imemfanya awe mpoleIla genta siku izi kama mstaarabu, kipindi Cha nyuma ukikoment ujinga au usipokubaliana nae kwenye Uzi wako jamaa atakupopoa mpaka uombe poo
Fikiria pia Diara angekuwa ana tabia kama za Chama halafu viongozi wamsimamishe siku chache kabla ya mechi dhidi ya Al Ahly,wakati huo ukikumbuka kipigo cha 3-0 dhidi ya Belouzdad langoni akiwepo Metacha,haya mambo sio rahisi kama mnavyodhaniMlishaonesha udhaifu mkubwa mbele ya triple c,as if hamuwezi survive bila yeye, japo ni karata nzuri imechangwa na viongozi ,amalize mkataba ulibaki aondoke
Yule ni mutu ya PK anaogopa kufurushwa kwenda kwaoIla genta siku izi kama mstaarabu, kipindi Cha nyuma ukikoment ujinga au usipokubaliana nae kwenye Uzi wako jamaa atakupopoa mpaka uombe poo