Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
una matatizo sio siriNawaona wachezaji wanaosajiliwa, wanatambulishwa kwa mbwembwe, bashasha lakini kiukweli naona kama utani tu.
Hakuna hata mchezaji mmoja mwenye kaliba ya Triple C.
Nacheka lakini Naogopa.
he can't press.MVP wa ligi ya Ivory Coast sio wa kumpa mkataba chini ya miaka miwili. Na uhakika ataperfom vizuri kabisa na mtaanza kusumbuana kuongeza mkataba.
hii mentality unaikuta kwenye team. sio mchezaji anakuja nayo kama kibu denis.Hawa wachezaji wanaweza? Watajituma?watakuwa na uchungu na kupata matokeo mazuri?
NimeongezaOngeza nyama.
Kama vile Pacome asivyoweza ku pressnimeangalia crip zake. sioni akitoboa simba. football ya bongo more of passion and strength.. huyu mapema tu.
Jamaa awezi ku press kabisa.
Kaunafiki kametulia hapo,hawezi mjua hiyo MVPUnamjua?
Mtaji wa ma Mvp umekata saivi mmehamia kwa free agent kina chama πMmeanza kufata nyayo za Mabingwa wa kihistoria Dar Young Africans mwaka jana tulimsajili MVP wa ivory coast Pacome.
Barcelona wanamtafuta mtu mwenye kaliba ya Messi? Biashara ya Mpira ni kamali.Kwahy akili yako yote imeishia kwa huyo triple C?
Waache muda ni mwalimu mzuri sana πππKwa vyovyote iwavyo napenda niwakumbushe wanazi wa Simba kuwa MWAKA JANA WAKATI WA USAJILI TULIAMINISHWA KWA MBWEMBWE SANA YA KUWA SIMBA IMESAJILI KIKOSI KIKALI SANA. Nadhani wote mnakumbuka vibe lilivyokuwa na ukichanganya na msemaji wa Simba alivyokuwa anawapamba wachezaji wanaosajiliwa
Tutunze akiba ya maneno. Hopes zilikuwa juu mno mwanzo wa msimu uliopita kwa wanazi wa Simba na matokeo yake tuliyaona
Tuacheni msitupangie cha kufurahia jamani...Kwa vyovyote iwavyo napenda niwakumbushe wanazi wa Simba kuwa MWAKA JANA WAKATI WA USAJILI TULIAMINISHWA KWA MBWEMBWE SANA YA KUWA SIMBA IMESAJILI KIKOSI KIKALI SANA. Nadhani wote mnakumbuka vibe lilivyokuwa na ukichanganya na msemaji wa Simba alivyokuwa anawapamba wachezaji wanaosajiliwa
Tutunze akiba ya maneno. Hopes zilikuwa juu mno mwanzo wa msimu uliopita kwa wanazi wa Simba na matokeo yake tuliyaona