Simba Sc tumemsajili kiungo wa Ivory Coast, Ahoua Jean

Wachawi bhana..eti nacheka..washabiki wanaishabikia timu yenye rangi ya mavi yaaani njano na kijani,lazima mpinge kila kitu kinackofanywa na Simba,hatutegemei muongee mazuri kwa Simba mtabaki mkicheka kichawi tu.

Yanga ni kikundi cha wachawi na majini.
 
Kwa vyovyote iwavyo napenda niwakumbushe wanazi wa Simba kuwa MWAKA JANA WAKATI WA USAJILI TULIAMINISHWA KWA MBWEMBWE SANA YA KUWA SIMBA IMESAJILI KIKOSI KIKALI SANA. Nadhani wote mnakumbuka vibe lilivyokuwa na ukichanganya na msemaji wa Simba alivyokuwa anawapamba wachezaji wanaosajiliwa

Tutunze akiba ya maneno. Hopes zilikuwa juu mno mwanzo wa msimu uliopita kwa wanazi wa Simba na matokeo yake tuliyaona
 
Waache muda ni mwalimu mzuri sana 😂😂😂
 
Tuacheni msitupangie cha kufurahia jamani...
 
Back
Top Bottom