Simba Sc tumemsajili kiungo wa Ivory Coast, Ahoua Jean

Huyu ni utopolo mwenzio mkuu
 
Nawaona wachezaji wanaosajiliwa, wanatambulishwa kwa mbwembwe, bashasha lakini kiukweli naona kama utani tu.

Hakuna hata mchezaji mmoja mwenye kaliba ya Triple C.

Nacheka lakini Naogopa.
Chama hakuwa bora alipokuwa Simba,Leo Mme msajili nasi amekuwa bora kuliko wachezaji wenu wote
 
Binafsi sipendi style hiyo ya utambulisho...
Ni kama idara ya habari imefilisika...hakuna ubunifu zaidi ya majigambo....
 
😀😀😀 sema yule msemaji wa makolo anajua kuwajaza upepo mashabiki. Akatuambia usajiri wa Onana walipigiwa simu na Etoo, sijui Ngoma walimuiba airport
 
YANGA (vibabu fc)

Chama (34) Mzee
Sureboy (34) Mzee
Mkude (32) Mzee
Makudubela( 38) kibabu
Duara(30) Mzee
Aziz ki ( 29) Makamo
Aucho (32) Mzee
Pacome(30)Mzee
Yaoyao(28)

Mh ; Timu ya vibabu hii. Nani atamtuma mwenzake kukoka kikome?


SIMBA (vijana fc):

Kibu(22)
Mkwala (22)
Mutale(22)
Chasambi(19)
Lawi(19)
Ahoua( 22)
Malone(24)
Tshabalala (27)

Damu changa hizi.
 
Nyie mbumbumbu mlilogwa
Acha kutusumbua kujadili shirikisho
 
Hatumpi mchezaji Maua yake kwa yaliyopita,,,aje hapa atudhihirishie ubora wake kiwanjani....
 
Kwani mgemsajili huyu jean Charles badala ya Chama mngepungukiwa nini?
Sasa mkuu unataka wachezeshaji wote bora wawe team moja tunapenda ushindani Wana Dar Young Africans tumefurahi mmeanza kujifunza namna ya kufanya Usajili misimu miwili Mfululizo tumesajili MVP wa Ivory Coast msimu wa tatu mmeenda.
 
Simba imewapiga bao waarabu kumsajili huyo jamaa, Simba wako serious sana na usajili safari hii.

MVP mpya wa ligi ya Ivory Coast ametua Msimbazi.
Baadae lawama 🗣️Mangungu tuachie timu yetu
Simba imewapiga bao waarabu kumsajili huyo jamaa, Simba wako serious sana na usajili safari hii.

MVP mpya wa ligi ya Ivory Coast ametua Msimbazi.
 
Chama kaiacha 5imba sio 5imba imemuacha Chama
 
Peleka hao vijana kombe la loser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…