Simba Sc tumemsajili kiungo wa Ivory Coast, Ahoua Jean

Sawa kaka angu Chukwu emeka ushauri mzuri kaka...
Ilaaaa sitaki kusema mengi sana...
Uwe na usiku mwema mtani...
 
Kwa uongo wa viongozi wa simba ulivyo siwezi kuamini usajili huu mpaka nione uwanjani tenampaka nione angalau mechi sita.

Nimpumbavu tu na mjinga ndio ataamini hizi mbwembwe za viongozi akiwemo msemaji.
Halafu jamani msemaji hana kosa yeye anatetea ugali wake .
 
Siwapangii nawakumbusha tu ili msijiaminishe kwa asilimia mia. Wekeni akiba kidogo
Sawa tumepokea ushauri...
Ila sfr hii mnatushauri kwa upolee sijui kwanini😄😄😄sijui na nyie hamjiamini amini...eti mtani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…