Simba SC tumuwahi Makambo kabla ajasainishwa Yanga SC

YANGA MWENZANGU LINI NAWE UMEHAMIA SIMBA? 😳😳😳😳😳😳😳😳
AU NDO ALIVYOSEMA MO DEWJ KUNA KIPINDI KILA MTU ATAKUWA SIMBA? WEWE SIKU ZOTE TUNA TEAM YETU YA YANGA NAWE UNAJIFANYA SIMBA? MNABOA SANA NYIE VINEGA.


Viongozi wetu wanafanya kutwanga maji kwenye kinu hivi sasa. Maana usajili wa msimu huu haionekani kuponesha vidonda vya mabao matano matano tuliyoyapata msimu uliopita wa klabu bingwa afrika...
 
Kwahiyo Simba mnaangalia Yanga anataka kusajili nani ili muwahi? Nini Shida hapo Msimbazi?
Huyo ni Yanga mwenzako, anaanzisha nyuzi kwa kujiita mwana Msimbazi. Nahisi kuna kitu kinaendelea kumuumiza wiki sasa
 
Makambo ndio kitu gani?

Akiwa Yanga tulichukua Ubingwa na kwa kuwa funga. Goli la Erasto Nyoni la Kichwa.
 
πŸ˜€πŸ˜€
Kinachofanyika ni kuonyesha nia ya kumsajili mchezaji fulani.
Jamaa fasta fasta "wanatuwahi" mwisho wanasajili majeruhi kibao kwa hela ndefu
 
Kwahiyo yule aliyepigwa 4 haikuwa mechi ya ushindani au sio
 
Na umasikini wa Yanga ulivyo waliweza kumchukua Senzo, kwanini Simba tushindwe kwa Makambo?
Senzo ndiye atakuwa anatumbukiza mabao nyavuni au sio??

Mshahara guarantee ya kumlipa ipo kweli au ndio katikati ya msimu ataanza kulia lia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…