Tajiri wa upendo OG
Senior Member
- Mar 15, 2020
- 171
- 237
Hao wachezaji proffesional unaijua bei yake vzr ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi wetu wanafanya kutwanga maji kwenye kinu hivi sasa. Maana usajili wa msimu huu haionekani kuponesha vidonda vya mabao matano matano tuliyoyapata msimu uliopita wa klabu bingwa afrika...
Huyo ni Yanga mwenzako, anaanzisha nyuzi kwa kujiita mwana Msimbazi. Nahisi kuna kitu kinaendelea kumuumiza wiki sasaKwahiyo Simba mnaangalia Yanga anataka kusajili nani ili muwahi? Nini Shida hapo Msimbazi?
Shida yetu simba ni mambumbumbu wengi sana
Na nyie mnasajili wa kwenda kushindana na GwambinaWamesajili mzee onyango eti ana miaka 23.wakashindane na mazembe eti
Na kweli.Shida yetu simba ni mambumbumbu wengi sana
😀😀Viongozi wetu wanafanya kutwanga maji kwenye kinu hivi sasa. Maana usajili wa msimu huu haionekani kuponesha vidonda vya mabao matano matano tuliyoyapata msimu uliopita wa klabu bingwa afrika.
Ninaona tunaacha kusajili high profile player, badala yake tunasajili washika pembe tu. Kila siku wanasajiliwa Mabeki na viungo. Hivi hamuoni tatizo kuwa tunashindwa kupata magoli kwenye mechi za ushindani?
Nasikia Eng Hersi atatua Lubumbashi jioni hii kufanya mazungumzo na Makambo ambaye amesalia miezi 6 kutamatisha mkataba wake na Horoya AC.
Kwanini tusihakikishe tunafanya umafia na sisi ili tuongeze makali pale mbele?
Kwahiyo yule aliyepigwa 4 haikuwa mechi ya ushindani au sioViongozi wetu wanafanya kutwanga maji kwenye kinu hivi sasa. Maana usajili wa msimu huu haionekani kuponesha vidonda vya mabao matano matano tuliyoyapata msimu uliopita wa klabu bingwa afrika.
Ninaona tunaacha kusajili high profile player, badala yake tunasajili washika pembe tu. Kila siku wanasajiliwa Mabeki na viungo. Hivi hamuoni tatizo kuwa tunashindwa kupata magoli kwenye mechi za ushindani?
Nasikia Eng Hersi atatua Lubumbashi jioni hii kufanya mazungumzo na Makambo ambaye amesalia miezi 6 kutamatisha mkataba wake na Horoya AC.
Kwanini tusihakikishe tunafanya umafia na sisi ili tuongeze makali pale mbele?
Senzo ndiye atakuwa anatumbukiza mabao nyavuni au sio??Na umasikini wa Yanga ulivyo waliweza kumchukua Senzo, kwanini Simba tushindwe kwa Makambo?
Na tumewachezesha akili zao hasaaa.Safari hii tunawachezea Akili tutakavyo. Tunatema mate kulia halafu tunafukia kushoto