Simba SC tuna timu nzuri sana ila tatizo kubwa lipo hapa

Simba SC tuna timu nzuri sana ila tatizo kubwa lipo hapa

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Wakuu salaam,

Baada ya sajili mpya kocha aliamua kubadili mfumo ajili ya maingizo mapya kitu ambacho kinaigharimu team hadi sasa.

Kocha alipaswa kutumia mfumo wa awali then akawa-train wachezaji wapya ili waingie katika mfumo hii isingetugharimu sana maana maingizo mapya muhimu katika kikosi cha kwanza ni mawili tu.

Yeyote anaesoma hapa na yupo karibu na uongozi/benchi la ufundi waambieni tatizo la Simba ni kubadili mfumo hivo suluhu yake ni kocha kurejesha mfumo wa awali kisha apange kikosi cha zamani alafu kwenye nafasi za chama na luis ndo aweke maingizo mapya tofauti na hapo mabadiliko ya mfumo yataendelea kutugharimu kwa sababu kikosi kizima kinalazimika kuuzoea mfumo mpya jambo ambalo laweza chukua muda mrefu.

Karibuni kwa maoni na michango yenu.
 
Hatujasajili mbuzi, mabadiliko ya mfumo ndo yanatugharimu
Mkuu uthabiti wa mfumo wa awali uliimarishwa na chama na konde boy ukitaka ucheze vile vile itabidi uwe na watu wataovaa viatu vya wale watu kitu ambacho hakiwezekan kwa sasa so lazima kocha abuni mfumo utakaowa accommodate wachezaji alionao sasa kitu ambacho hakiwez kufanikiwa ndan ya mech chache tu
 
Mmeuza iPhone 13,mnaenda kununua Tecno za mafungu mbagala.
 
Back
Top Bottom