Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
lazima tutakutana tuKwani hospital ya Mirembe imefungwa?
Jifunze kuandika vizuriSimba sc tunaomba robo final na yanga mapinduzi cup.
Tutawarihirishia zile tano za yanga sio za halali bali imetokana na mambo mawil.
1.Waliwaonga baadhi ya wachezaji wa Simba sc kwa pesa..ndio maana wangine wamewekwa bench mpaka sasa..na wangine tunawatafunia mbinu tuwatimue.
2.Yanga ni wachawi kwasababu ya udhaifu wao..kitu kidhaifu huwa kinakuwa kichawi..Hivyo hizo tano ni za hujuma na za mganga sio za yanga.
NB SIMBA NI TIMU KUBWA NA BORA NA NAMBA 1 TANZANIA,AFRIKA MASHARIKI NA KATI..kufungwa na timu ndogo bao tano inatokea kwa timu ndogo kuiyotea timu kubwa ila kwa hii yanga inasababu hizo hapo juu.
Tupangiwe chap hawa watu.
💚 Tutabutua 5imba kipigo cha mbwamwitu
Unajua maana ya timu bora?ligi ya NBC inatambulika Africa mashariki na kati?Jibu ni kwamba NBC haitambuliki popote zaidi ya kwa mtogole na buza,kuwa timu bora sio kazi rahisi...au mnadanganywa na hawa waandishi wa habari makanjanja wenye njaa kali wanaopewa laptop ili kuipa airtime timu ndogo kama yanga.Young man, be careful with what you are wishing for..
Tunawataka robo kwanzaFinal ni Simba na Yanga
Kama wewe ni bora una haja gani kuyaandika yote haya? Yan ukurasa wote huu kuuelezea huo ubora hakika unatia shaka na huu ubora unaousimulia.Unajua maana ya timu bora?ligi ya NBC inatambulika Africa mashariki na kati?Jibu ni kwamba NBC haitambuliki popote zaidi ya kwa mtogole na buza,kuwa timu bora sio kazi rahisi...au mnadanganywa na hawa waandishi wa habari makanjanja wenye njaa kali wanaopewa laptop ili kuipa airtime timu ndogo kama yanga.
Sikia, timu bora Afrika mashariki na kati ni timu ambayo imefanya vizuri katika ligi za kimataifa kwa muda mrefu katika ligi ya club bingwa..na timu hiyo ni SIMBA SC
Hii yanga ndio imeingia juzi hatua ya makundi baada ya kujitafuta kwa miaka 28,wakati Simba sc inacheza kila siku club bingwa miaka yote tokea nchi ipate uhuru..Simba mbali na kucheza makundi ya club bingwa sana,imefika robo mara tano...imefika nusu fainal ya club bingwa mwaka 1974,kwenye ile kombe la loser(shirikisho)Simba sc imecheza fainal 1993..Rais wako Mama Samia aliwathibitishia juzi mlipo cheza final ya shirikisho,akawaambia mlipo wenzenu walifika siku nyingi.
Ukubwa wa yanga ipo wap?au kwenye hizi ligi za ndani zinazochezeshwa na waamuzi wabovu ambao huipa matokeo timu mbovu kwenye ligi ya NBC?
Na nakuhakikishia yanga haiwezi kufika robo club bingwa mtaishia makundi nipo nimekaa hapa.
Na mechi ambayo yanga imeshinda juzi dhidi ya medeana ndio mechi ya kwanza yanga kushinda katika ligi ya club bingwa tokea kuanzishwa kwa yanga na kuumbwa kwa Dunia..na medeana ni ya 59 kwa ubora bara ya Afrika..just image
Simba imecheza Super ligi juzi ligi ambayo zinacheza timu 8 bora barani Afrika..nalo hilo mkuliona?ukubwa Simba huo.
Simba sc imechaguliwa na FIFA(FIFA ni shirika la mpira wa miguu duniani) kuwania kombe la Dunia 2025 na TFF,CUF na FIFA kwenye mafile na takwimu zao inayonyesha Simba sc ndio Timu kubwa na bora na ya kwanza Tanzania,Afrika mashabiki na kati na ni timu namba 7 kwa ubora na ukubwa barani Afrika ..imethinitishwa..hii yanga ya waandishi.makanjanja ipo wap?
Juzi Ahy Ahy ilipo tua Tanzania waandishi makanjanja wakaenda kuwahoji kwa kutumia maswali ya mtego ili kufanyajustification ya upumbavu na ujinga wao..ila muarabu aliyeandikwa katika vitabu vyote vya dini akawaambia Simba sc ni timu kubwa barani Afrika na namba moja Tanzania.Hiyo yanga hawaijui ila wanahisi ni namba 2 Tanzania.
Kumekucha kaka, kanywe dozi kwanza.Simba SC tunaomba robo final na Yanga Mapinduzi Cup.
Tutawadhihirishia zile tano za Yanga sio za halali bali imetokana na mambo mawil.
1. Waliwaonga baadhi ya wachezaji wa Simba SC kwa pesa ndio maana wangine wamewekwa benchi mpaka sasa na wangine tunawatafunia mbinu tuwatimue.
2. Yanga ni wachawi kwasababu ya udhaifu wao, kitu kidhaifu huwa kinakuwa kichawi. Hivyo hizo tano ni za hujuma na za mganga sio za yanga.
NB: SIMBA NI TIMU KUBWA NA BORA NA NAMBA 1 TANZANIA, AFRIKA MASHARIKI NA KATI.
Kufungwa na timu ndogo bao tano inatokea kwa timu ndogo kuiotea timu kubwa ila kwa hii Yanga inasababu hizo hapo juu.
Tupangiwe chap hawa watu.
Ni Ile DNA ya umbumbumbu inafanya KaziKwanini mashabiki wa 5imba mnatumia nguvu kubwa sana kuutangaza ukubwa wenu?
Timu bora TANZANIA ni YANGASimba SC tunaomba robo final na Yanga Mapinduzi Cup.
Tutawadhihirishia zile tano za Yanga sio za halali bali imetokana na mambo mawil.
1. Waliwaonga baadhi ya wachezaji wa Simba SC kwa pesa ndio maana wangine wamewekwa benchi mpaka sasa na wangine tunawatafunia mbinu tuwatimue.
2. Yanga ni wachawi kwasababu ya udhaifu wao, kitu kidhaifu huwa kinakuwa kichawi. Hivyo hizo tano ni za hujuma na za mganga sio za yanga.
NB: SIMBA NI TIMU KUBWA NA BORA NA NAMBA 1 TANZANIA, AFRIKA MASHARIKI NA KATI.
Kufungwa na timu ndogo bao tano inatokea kwa timu ndogo kuiotea timu kubwa ila kwa hii Yanga inasababu hizo hapo juu.
Tupangiwe chap hawa watu.
Jifunze kuandika KiswahiliUnajua maana ya timu bora?ligi ya NBC inatambulika Africa mashariki na kati?Jibu ni kwamba NBC haitambuliki popote zaidi ya kwa mtogole na buza,kuwa timu bora sio kazi rahisi...au mnadanganywa na hawa waandishi wa habari makanjanja wenye njaa kali wanaopewa laptop ili kuipa airtime timu ndogo kama yanga.
Sikia, timu bora Afrika mashariki na kati ni timu ambayo imefanya vizuri katika ligi za kimataifa kwa muda mrefu katika ligi ya club bingwa..na timu hiyo ni SIMBA SC
Hii yanga ndio imeingia juzi hatua ya makundi baada ya kujitafuta kwa miaka 28,wakati Simba sc inacheza kila siku club bingwa miaka yote tokea nchi ipate uhuru..Simba mbali na kucheza makundi ya club bingwa sana,imefika robo mara tano...imefika nusu fainal ya club bingwa mwaka 1974,kwenye ile kombe la loser(shirikisho)Simba sc imecheza fainal 1993..Rais wako Mama Samia aliwathibitishia juzi mlipo cheza final ya shirikisho,akawaambia mlipo wenzenu walifika siku nyingi.
Ukubwa wa yanga ipo wap?au kwenye hizi ligi za ndani zinazochezeshwa na waamuzi wabovu ambao huipa matokeo timu mbovu kwenye ligi ya NBC?
Na nakuhakikishia yanga haiwezi kufika robo club bingwa mtaishia makundi nipo nimekaa hapa.
Na mechi ambayo yanga imeshinda juzi dhidi ya medeana ndio mechi ya kwanza yanga kushinda katika ligi ya club bingwa tokea kuanzishwa kwa yanga na kuumbwa kwa Dunia..na medeana ni ya 59 kwa ubora bara ya Afrika..just image
Simba imecheza Super ligi juzi ligi ambayo zinacheza timu 8 bora barani Afrika..nalo hilo mkuliona?ukubwa Simba huo.
Simba sc imechaguliwa na FIFA(FIFA ni shirika la mpira wa miguu duniani) kuwania kombe la Dunia 2025 na TFF,CUF na FIFA kwenye mafile na takwimu zao inayonyesha Simba sc ndio Timu kubwa na bora na ya kwanza Tanzania,Afrika mashabiki na kati na ni timu namba 7 kwa ubora na ukubwa barani Afrika ..imethinitishwa..hii yanga ya waandishi.makanjanja ipo wap?
Juzi Ahy Ahy ilipo tua Tanzania waandishi makanjanja wakaenda kuwahoji kwa kutumia maswali ya mtego ili kufanyajustification ya upumbavu na ujinga wao..ila muarabu aliyeandikwa katika vitabu vyote vya dini akawaambia Simba sc ni timu kubwa barani Afrika na namba moja Tanzania.Hiyo yanga hawaijui ila wanahisi ni namba 2 Tanzania.
Unazungumzia hivi vicombe uchwara vya ndani ambapo marefaa wanapewa bahasha au wanaamua kuibeba timu mbovu na duni na kuilazimishia ushindi...achana na hivi vicombe vya mtogole na buz vinavyochezeshwa na wachawi wenzenu na waamuzi wa bahasha..hivi vikombe havitambuliki hata hapo kenyaTimu bora TANZANIA ni YANGA
1. Imewafunga Simba mara nyingi kuliko timu yoyote Duniani.
2. Imechukua kombe la ligi TANZANIA kuliko timu yoyote.
3. Ina umri mkubwa kuliko timu yoyote TANZANIA. Yaani hao Simba ni wake wa Yanga maana wametoka ubavuni make.
4. Afrika Mashariki na kati TP MAZEMBE na AS VITA, ndiyo timu vinara zimebeba makombe ya CAF.
MAKOLO HATA MEDALI HAMNA HOVYO TU.
Bado hamjatosheka na zile goli 5 siyo!Simba SC tunaomba robo final na Yanga Mapinduzi Cup.