Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile za kipepo?Bado hamjatosheka na zile goli 5 siyo!
Safari ijayo tutawapangia kikosi kilichocheza jana na KVZ, ili na nyinyi muambulie sare. Maana goli 5 siyo poa hata kidogo.Zile za kipepo?
Tunawataka first 11 aisee....wale wale waliocheza ile game...Safari ijayo tutawapangia kikosi kilichocheza jana na KVZ, ili na nyinyi muambulie sare. Maana goli 5 siyo poa hata kidogo.
Wewe timu yako imechukua kombe gani la maana huko Duniani? Basi timu lako litakuwa bovu kabisa, sababu hata uwezo wa kuchukua Mataji mengi ya ndani ni mdogo.Unazungumzia hivi vicombe uchwara vya ndani ambapo marefaa wanapewa bahasha au wanaamua kuibeba timu mbovu na duni na kuilazimishia ushindi...achana na hivi vicombe vya mtogole na buz vinavyochezeshwa na wachawi wenzenu na waamuzi wa bahasha..hivi vikombe havitambuliki hata hapo kenya
AzizTunawataka first 11 aisee....wale wale waliocheza ile game...
Kwa sbb nyie ndo kwa mara ya kwanza kumfunga Simba hivyo lazima iwe historia..ila naona iliwauma sana mlipokandwa 5 na zile 6...mnadhani sisi ndo nyinyi..
Yanga atafungwaFinal ni Simba na Yanga
Ndio maana sipendi tukutane Bora tukutane na azam nusu tumpe ushindi tuje kupumzika final wacheze Azam na simbaYanga atafungwa
Wachezaji tegemeo wote wako AFCON
Wachache waliobakia wapo makwao wamepewa mapumziko, mfano Aucho, Yao, Pacome
Beki tegemeo ni Gift Fred tu