Simba SC tunashinda ila Makocha wa JamiiForums tumsaidie Kocha Mgunda kukipanga Kikosi chake

Kapombe anaweza kuwa fit lakini akakosa game fitness coz hajacheza muda mrefu Sasa kikosi changu ni hiki
1.Manula
2.Israh
3.Zimbwe
4.Onyango
5.Inonga
6.Kanote
7.Mzamiru
8.Chama
9.Phiri
10. Sacko
11. Okrah
 
Gentamycine, acha kutumia lugha chafu. Wewe si wa hadhi ya lugha za namna hiyo. Kuna watu tukisoma tunapata kichefuchefu. Ujumbe wako waweza kufika bila kuzuliana mambo machafu ambayo huwezi kuthibitisha.
 
Gentamycine, acha kutumia lugha chafu. Wewe si wa hadhi ya lugha za namna hiyo. Kuna watu tukisoma tunapata kichefuchefu. Ujumbe wako waweza kufika bila kuzuliana mambo machafu ambayo huwezi kuthibitisha.
Rubbish.
 
Halafu eti ww ni mtoto wa kiongozi, tena aliyeheshimika, duh!
Absolute Nonsense. Baba yangu kuwa Kiongozi Mstaafu ( Sekta / Idara fulani ) Tanzania na Mawazo yangu Binafsi hapa JamiiForums yanahusiana vipi?
 
Huyo Jamaa kahama Yanga?!
 
Read again bro,hakuna anaeweza kujudge uwezi wa shomari nchi hii.ila kwa sasa hawezi kurudi akaingia moja kwa moja kikosini hiko kitu hakipo katika mpira,..ataingia sub labda israh mechi imshinde kabisa..
 
Nimemuona Putin kumbe sio ni mr tozo singida big star
 
Huu uzi ukiusoma kwa kutulia, utagundua kuna kila dalili ya hofu mioyoni mwa watu.

Na hata ikitokea jahazi likazama baharini hiyo kesho, basi kuna watu pia watabebeshwa gunia la malalamiko, kwa sababu wamepanga kikosi dhaifu! Kwa sababu fulani hakupangwa! Kwa nini kocha kamtoa mapema fulani! nk.

Naona team malalamiko wameanza rasmi maandalizi yao.
 
Kapombe anaweza kuwa fit lakini akakosa game fitness coz hajacheza muda mrefu Sasa kikosi changu ni hiki
1.Manula
2.Israh
3.Zimbwe
4.Onyango
5.Inonga
6.Kanote
7.Mzamiru
8.Chama
9.Phiri
10. Sacko
11. Okrah
Kikosi cha simba kinajulikana na ni vyepesi sana kurogeka

Kocha afanye mabadiliko kidogo kuyachanganya majini ya yanga
 
Msingi wa kucheza mpira ni kujituma kwa bidii zako zote.
Ukichoka anguka chini wakubadilishe au omba kubadilishwa.

Nawasifu Yanga wamejituma sana katika game za ndani.
 
8,9,10,11 ving'ang'anizi kila kikosi wapo hapo hapo😀
 
Kwani yule ustadh wao vipi..kama bado yupo na haijachukuliwa hatua yoyote hata tupange messi ronaldo benzema lewandosky watatunyoa tu
yule ostazi wamemuwai tangia wiki iliyokwisha anaharisha mfululizo.yupo hoi kitandani pembeni ana ndoo kama tatu za kuharishia.
kwasisi Yanga kukosa kazi ya huyu ostazi ni pigo kubwa sana kwetu.ni mungu atusaidie,ila kiukweli trh 23 upepo kwetu ni mbaya sana.
 
Kizuri pia japo nisiwaficheni wana Simba SC wote mlioko hapa JamiiForums kuwa simpendi hakuna mfano huyu Pape Sakho kutokana na Uchoyo na Utoto wake mwingi ambao huwa Unatucheleweshea sana Ushindi wa mapema na hata wa Mchezo mzima.
Nikweli haka kajamaa kachoyo na kanacheza selfish mno! hataivyo nakumbuka uliwahi kusema ni bonge la mchezaji hata luis jose hafiki! naona bado ananafas yakutusaidia kikosini! tumvumilie
 
💪Yanga quality and strength yao ipo kwenye dimba la kati yani Midfielders wao ni wazuri kupiga pass (short,quick and accurate pass) pia ni wazuri katika ku control tempo ya mchezo.

Ukitaka kuwapiga kama Ngoma Pia udhaifu wao uko eneo hilo hilo


🦁Angalia First Half Mechi ya Simba na Yanga Ngao ya Hisani mwaka huu kocha wa simba akiwa Zoran Maki.

🦁
Angalia Game ya FA Fainali COAST VS YANGA

🦁Angalia Game zote mbili za Al HILAL vs YANGA

🙋‍♂️Ukigundua kitu mstue Mgunda
 
Mgunda wa mchongo
Kikosi kazi hiki hapa
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Kennedy Juma
5. Joash Onyango
6. Henock Inonga
7. Saido Kanoute
8. Muzamir Yasin
9. Moses Phiri
10. Clatous Chama
11. ASHURA CHEUPE😅😅
 
Mgunda wa mchongo
Kikosi kazi hiki hapa
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Kennedy Juma
5. Joash Onyango
6. Henock Inonga
7. Saido Kanoute
8. Muzamir Yasin
9. Moses Phiri
10. Clatous Chama
11. ASHURA CHEUPE[emoji28][emoji28]
Shomari hachezi kesho, bado anatibiwa.
Kennedi acheze namba sita anaiweza Innonga acheze namba 4. Mwenda namba 2
 
Daah Jf bwana[emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…