Simba SC Uwezekano wa Kutolewa upo


Mpira wa migumu una mambo mengi. Kuna makosa, kuna mbinu na ufundi halafu kuna kutokuwa au kuwa na bahati. Ile mechi ilikuwa Assec wameuchukua mchezo ila kipa wao ndiye aliyewatoa mchezoni kwa mistake aliyoifanya.
Uliposema mpira una mambo mengi tu nikakuelewa na KUTOSHEKA.
 

Mkuu unataka kuniambia mwaka jana kaizer chief kucheza fainali ni timu bora kuliko mamelodi?wakati mwingine linakuja jambo linaloitwa bahati na ikiwa upande wako lolote linaweza kutokea,Ndio maana unaweza ukawa na juhudi sana na usifanikiwe
 
Kuna siku Manchester Utd na Liverpool mmoja alikufa 6 na mwingine 7. Ingekuwa ni Bongo hawa mapacha (Yanga na Simba) wangepigwa bao hizo basi kesho yake timu zote 2 zingevunjwa na kutafutwa Yosso.
 
Wewe utopolo unatamani uwe simba,ubaya huwezi haaahaaa!!!
Malengo ya simba ni quarter final, tukifika tumemaliza...hatuna la kujutia!!
Pambana na hali yako
 
Endapo Gendarmerie atamfunga Simba basi atafika fainali, amini usiamini!
 
I
Mpira wa kiafrika timu ikicheza ugenini inakuwa mbovuuuu ikiwa uwanja wa nyumbani unaweza kuhisi ni timu tofauti na uliyoiona ikiwa ugenini sijui kwanini.
Ila mechi ya Asec na Simba wote walikuwa ugenini (Benin) na kila timu ilikuwa na mashabiki.
 
Mkuu, hizo asilimia umezigawaje hapo, au tuseme umezipataje? 😂 Maana tuliosoma hesabu za ratio, na pia za probability, hapa unatuchanganya kabisa! Ndio mambo ya kujifanya mjuaji wakati kichwani hakuna kitu
 
Nimesoma mpaka nikasahau mada ni ilikuwa kitu Gani,kulikuwa na ulazima Gani kuchanganya huu mseto wa mambo meeeengi??ulikuwa hujiamini??bila shaka umeona kwanini ulikosa kujiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…