Simba SC Uwezekano wa Kutolewa upo

Simba SC Uwezekano wa Kutolewa upo

Simba alishawahi kucheza zaidi ya Robo fainali michuano ya Klabu Bingwa Africa ?

Siku zote safari yake Huwa ni Roho Fainali baada ya Makundi, unajua ni kwanini . ?

Hata hii michuano safari yake mwisho ni Lazima iwe Robo fainal .

Kinachoibeba ni hiyo makundi; baada ya makundi anakuwa hana uwezo wa ku compete maana anakutana na hard proof inayompelekea kufika mwisho wa uwezo wake .

Hana kikosi cha kucheza nusu fainali .hapo ndio inakuja maana ya Investment.

Halikadhalika, umeshawahi kusikia Ahly imeshindwa Kuingia makundi au robo fainali ....? Why ?

kila Mwaka lazima icheze hizo nafasi , tofauti na Simba, leo atacheza Robo fainal , next season anatoka kwenye Preliminary Stage , no consistency , that is what we call Investment, yani Simba kucheza Robo Fainal au Makundi

Mpira wa migumu una mambo mengi. Kuna makosa, kuna mbinu na ufundi halafu kuna kutokuwa au kuwa na bahati. Ile mechi ilikuwa Assec wameuchukua mchezo ila kipa wao ndiye aliyewatoa mchezoni kwa mistake aliyoifanya.
Uliposema mpira una mambo mengi tu nikakuelewa na KUTOSHEKA.
 
Simba alishawahi kucheza zaidi ya Robo fainali michuano ya Klabu Bingwa Africa ?

Siku zote safari yake Huwa ni Roho Fainali baada ya Makundi, unajua ni kwanini . ?

Hata hii michuano safari yake mwisho ni Lazima iwe Robo fainal .

Kinachoibeba ni hiyo makundi; baada ya makundi anakuwa hana uwezo wa ku compete maana anakutana na hard proof inayompelekea kufika mwisho wa uwezo wake .

Hana kikosi cha kucheza nusu fainali .hapo ndio inakuja maana ya Investment.

Halikadhalika, umeshawahi kusikia Ahly imeshindwa Kuingia makundi au robo fainali ....? Why ?

kila Mwaka lazima icheze hizo nafasi , tofauti na Simba, leo atacheza Robo fainal , next season anatoka kwenye Preliminary Stage , no consistency , that is what we call Investment, yani Simba kucheza Robo Fainal au Makundi Sio Investment bali ni inshallah inshallah ya Rabi saidia

Mkuu unataka kuniambia mwaka jana kaizer chief kucheza fainali ni timu bora kuliko mamelodi?wakati mwingine linakuja jambo linaloitwa bahati na ikiwa upande wako lolote linaweza kutokea,Ndio maana unaweza ukawa na juhudi sana na usifanikiwe
 
Ila bongo bwana team isifungwe yaani kila siku team ishinde hakuna team ya hvyo duniani hata kama ni kweli kuna mapungufu ila sio kwa hoja hizo juzi real Madrid kafa 4 mtungi hakuna aliyetegemea na ilikuwa wafe nane wale ingekuwa bongo kocha angefukuzwa wachezaji wangetukanwa yaani kiufupi mpira sisi bado yaani nje ya uwanja na ndani ya uwanja.
Kuna siku Manchester Utd na Liverpool mmoja alikufa 6 na mwingine 7. Ingekuwa ni Bongo hawa mapacha (Yanga na Simba) wangepigwa bao hizo basi kesho yake timu zote 2 zingevunjwa na kutafutwa Yosso.
 
Mpira huwa na matokeo ya KIKATILI sana. Nadhani wadau wa soka tujiandae kisaikolojia, maisha sio marahisi kama jinsi tunavyowaza.

Tujiulize Simba ilifika je hapa kwenye michuano hii. Tulifanyiwa Surprise moja ya ajabu pale LUPASO, hakuna aliyeamini.

Hiyo team yenyewe tunajua ilipo now? Galaxy inashika mkia kwenye kundi lake na ni lazima itoke. Hii ni ishara kwamba simba inakuzwa na kelele na ma promotion yasiyo na tija, reality on the ground ni tofauti kabisa.

Asec inakikosi kizuri, mchezaji mwenye umri mkubwa pale ni miaka 22 , wapo energetic , young and smart, kile kikosi next FY kitakuwa ni moto.

Simba Ina changamoto nyingi, kuanzia kocha , kocha pablo hana psychological tags za kufundisha Africa, hilo ni tatizo moja wapo, Tatizo lingine ni Simba kuamini katika ujinga, huwezi kuwa timu ya ushindani na striker kama Kagere , au Mugalu , ni kupoteza muda.

Hakuna mpira wa inshallah inshallah, mpira ni Investment. Uki invest Vyema , likelihood ya kufika mbali ni kubwa.

Naishauri Simba ifanye usajili wenye tija na kuacha fantasy za mitandao au ushindani wa kugombea wachezaji na Yanga , ni ujinga.

Nendeni west Africa huko Burkinafaso, Ghana, Ivory’s Cost , Cameroon , kuna vitoto vipo safi na wana miili mizuri na wana Nature za kimpira.... acheni kukomaa na watu wazeee , mnatoa expectation kubwa kwa mashabiki halafu uhalisia ni kubahatisha.

Hata ile timu ya Morocco , hamkuifunga, ukweli ni kwamba Mlifungwa But fitna ilitawala.

Kufungwa na Asec Goli 3 na Penati 2 , huo ndio uwezo wenu, vile vitoto vingi ni under 20 vina spirit na ndoto za ku Excel soka lao la kulipwa huko ulaya.

Yaani hata Simba ikifika Robo fainali, asilimia 95% , hapo ndio itakuwa ni mwisho wao. Hakuna kikosi cha kucheza nusu fainali.

Pamoja na yote , Simba ana asilimia 55 ya kwenda mbele. Asec ana asilimia 50 ya kwenda mbele , BERKANE Ana asilimia 55 ya kwenda mbele, GENDERMARIE ana asilimia 15 ya kwenda mbele , pamoja na uchache wake, ni wazi wanaweza kumbania Mnyama asipite, yaani any suluhu, Simba Out.
Wewe utopolo unatamani uwe simba,ubaya huwezi haaahaaa!!!
Malengo ya simba ni quarter final, tukifika tumemaliza...hatuna la kujutia!!
Pambana na hali yako
 
Hakuna sehemu niliposema kuwa Gendarmerie ni wazuri kuliko timu fulani bali nimesema nao watakuja kutafuta point tatu ili kufikisha point 8 kisha ndio baafa ya dakika 90 wajue kilichojili kwa Berkane. Kama Berkane atafungwa nafasi ya kupita ni ya kwao Gendarmerie hivyo hawawezi kucheza mechi kwa kuridhika wakati hata wao wanaona wana possibility ya kufuzu kama atamfunga simba na Berkane kupoteza
Endapo Gendarmerie atamfunga Simba basi atafika fainali, amini usiamini!
 
I
Mpira wa kiafrika timu ikicheza ugenini inakuwa mbovuuuu ikiwa uwanja wa nyumbani unaweza kuhisi ni timu tofauti na uliyoiona ikiwa ugenini sijui kwanini.
Ila mechi ya Asec na Simba wote walikuwa ugenini (Benin) na kila timu ilikuwa na mashabiki.
 
Pamoja na yote , Simba ana asilimia 55 ya kwenda mbele. Asec ana asilimia 50 ya kwenda mbele , BERKANE Ana asilimia 55 ya kwenda mbele, GENDERMARIE ana asilimia 15 ya kwenda mbele , pamoja na uchache wake, ni wazi wanaweza kumbania Mnyama asipite, yaani any suluhu, Simba Out.
Mkuu, hizo asilimia umezigawaje hapo, au tuseme umezipataje? 😂 Maana tuliosoma hesabu za ratio, na pia za probability, hapa unatuchanganya kabisa! Ndio mambo ya kujifanya mjuaji wakati kichwani hakuna kitu
 
Mpira huwa na matokeo ya KIKATILI sana. Nadhani wadau wa soka tujiandae kisaikolojia, maisha sio marahisi kama jinsi tunavyowaza.

Tujiulize Simba ilifika je hapa kwenye michuano hii. Tulifanyiwa Surprise moja ya ajabu pale LUPASO, hakuna aliyeamini.

Hiyo team yenyewe tunajua ilipo now? Galaxy inashika mkia kwenye kundi lake na ni lazima itoke. Hii ni ishara kwamba simba inakuzwa na kelele na ma promotion yasiyo na tija, reality on the ground ni tofauti kabisa.

Asec inakikosi kizuri, mchezaji mwenye umri mkubwa pale ni miaka 22 , wapo energetic , young and smart, kile kikosi next FY kitakuwa ni moto.

Simba Ina changamoto nyingi, kuanzia kocha , kocha pablo hana psychological tags za kufundisha Africa, hilo ni tatizo moja wapo, Tatizo lingine ni Simba kuamini katika ujinga, huwezi kuwa timu ya ushindani na striker kama Kagere , au Mugalu , ni kupoteza muda.

Hakuna mpira wa inshallah inshallah, mpira ni Investment. Uki invest Vyema , likelihood ya kufika mbali ni kubwa.

Naishauri Simba ifanye usajili wenye tija na kuacha fantasy za mitandao au ushindani wa kugombea wachezaji na Yanga , ni ujinga.

Nendeni west Africa huko Burkinafaso, Ghana, Ivory’s Cost , Cameroon , kuna vitoto vipo safi na wana miili mizuri na wana Nature za kimpira.... acheni kukomaa na watu wazeee , mnatoa expectation kubwa kwa mashabiki halafu uhalisia ni kubahatisha.

Hata ile timu ya Morocco , hamkuifunga, ukweli ni kwamba Mlifungwa But fitna ilitawala.

Kufungwa na Asec Goli 3 na Penati 2 , huo ndio uwezo wenu, vile vitoto vingi ni under 20 vina spirit na ndoto za ku Excel soka lao la kulipwa huko ulaya.

Yaani hata Simba ikifika Robo fainali, asilimia 95% , hapo ndio itakuwa ni mwisho wao. Hakuna kikosi cha kucheza nusu fainali.

Pamoja na yote , Simba ana asilimia 55 ya kwenda mbele. Asec ana asilimia 50 ya kwenda mbele , BERKANE Ana asilimia 55 ya kwenda mbele, GENDERMARIE ana asilimia 15 ya kwenda mbele , pamoja na uchache wake, ni wazi wanaweza kumbania Mnyama asipite, yaani any suluhu, Simba Out.
Nimesoma mpaka nikasahau mada ni ilikuwa kitu Gani,kulikuwa na ulazima Gani kuchanganya huu mseto wa mambo meeeengi??ulikuwa hujiamini??bila shaka umeona kwanini ulikosa kujiamini
 
Back
Top Bottom