Simba SC Uwezekano wa Kutolewa upo

Simba SC Uwezekano wa Kutolewa upo

Simba inasumbuliwa na wachezaji kutokujituma uwanjani. Ni wavivu na wazembe. Cha ajabu kocha yupo uwanjani hapo hapo na hajui anachofanya. Vilevile kocha anachelewa kufanya sub. Kibu D anaharibu mpira kutoka dkk ya kwanza na kufanyiwa sub dkk ya 70.

Halafu kibu hana match Fitness , lakini anacheza dakika 70, Yaani anachelewesha sub sana. Huwa naamini huyu kocha anaamini katika miujiza na sio technique
 
Ila bongo bwana team isifungwe yaani kila siku team ishinde hakuna team ya hvyo duniani hata kama ni kweli kuna mapungufu ila sio kwa hoja hizo juzi real Madrid kafa 4 mtungi hakuna aliyetegemea na ilikuwa wafe nane wale ingekuwa bongo kocha angefukuzwa wachezaji wangetukanwa yaani kiufupi mpira sisi bado yaani nje ya uwanja na ndani ya uwanja.

Taratibu kaka
 
Sina muda wa kubishana na utopolo kwani Luc Eymael na Msukule Manara walishamaliza kila kitu kuhusu akili za hawa watu. Vichwani wanamatatizo makubwa.
 
Halafu kibu hana match Fitness , lakini anacheza dakika 70, Yaani anachelewesha sub sana. Huwa naamini huyu kocha anaamini katika miujiza na sio technique
Mimi kwangu ukiniuza usajili unaokuja nani aachwe , wa kwanza ni huyo kocha wengine wanafuata.
 
Hakuna timu isiyofungwa duniani. Huyo Berkane unayemsifia alikufa kwa mkapa na alikufa nyumbani kwa USGN.
 
Mpira huwa na matokeo ya KIKATILI sana. Nadhani wadau wa soka tujiandae kisaikolojia, maisha sio marahisi kama jinsi tunavyowaza.

Tujiulize Simba ilifika je hapa kwenye michuano hii. Tulifanyiwa Surprise moja ya ajabu pale LUPASO, hakuna aliyeamini.

Hiyo team yenyewe tunajua ilipo now? Galaxy inashika mkia kwenye kundi lake na ni lazima itoke. Hii ni ishara kwamba simba inakuzwa na kelele na ma promotion yasiyo na tija, reality on the ground ni tofauti kabisa.

Asec inakikosi kizuri, mchezaji mwenye umri mkubwa pale ni miaka 22 , wapo energetic , young and smart, kile kikosi next FY kitakuwa ni moto.

Simba Ina changamoto nyingi, kuanzia kocha , kocha pablo hana psychological tags za kufundisha Africa, hilo ni tatizo moja wapo, Tatizo lingine ni Simba kuamini katika ujinga, huwezi kuwa timu ya ushindani na striker kama Kagere , au Mugalu , ni kupoteza muda.

Hakuna mpira wa inshallah inshallah, mpira ni Investment. Uki invest Vyema , likelihood ya kufika mbali ni kubwa.

Naishauri Simba ifanye usajili wenye tija na kuacha fantasy za mitandao au ushindani wa kugombea wachezaji na Yanga , ni ujinga.

Nendeni west Africa huko Burkinafaso, Ghana, Ivory’s Cost , Cameroon , kuna vitoto vipo safi na wana miili mizuri na wana Nature za kimpira.... acheni kukomaa na watu wazeee , mnatoa expectation kubwa kwa mashabiki halafu uhalisia ni kubahatisha.

Hata ile timu ya Morocco , hamkuifunga, ukweli ni kwamba Mlifungwa But fitna ilitawala.

Kufungwa na Asec Goli 3 na Penati 2 , huo ndio uwezo wenu, vile vitoto vingi ni under 20 vina spirit na ndoto za ku Excel soka lao la kulipwa huko ulaya.

Yaani hata Simba ikifika Robo fainali, asilimia 95% , hapo ndio itakuwa ni mwisho wao. Hakuna kikosi cha kucheza nusu fainali.

Pamoja na yote , Simba ana asilimia 55 ya kwenda mbele. Asec ana asilimia 50 ya kwenda mbele , BERKANE Ana asilimia 55 ya kwenda mbele, GENDERMARIE ana asilimia 15 ya kwenda mbele , pamoja na uchache wake, ni wazi wanaweza kumbania Mnyama asipite, yaani any suluhu, Simba Out.
Mkuu mbona unaandika post kama bado una mwiko nyuma?

Simba ni kweli haipo vzr lakini kwenda quarter final ni lazima..

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hujawahi kosea Simba ni Mkolo tu na Mpira hawana.. habari ya mjini now ni Yanga tu[emoji123]
Kinachoifanya ya mjini kipi Simba mbaya sawa Hilo kila mtu analikubali lakini ni mbaya ukilinganisha na nani Kuna hapo umesikia akisema Simba nimbaya ukilinganisha na yanga au wamezunguzia team ziliko caf. Usijaribu kujiingiza hapo hata kidogo Mana huna team yakucheza kimataifa Kama namungo tu ilikushinda
 
Unadhani Gendarmerie watakuwa na mentality hiyo? Wao watakuwa na akili ya kutafuta alama tatu ili baada ya dakika 90 ndipo wajue nini kimetokea kwenye mechi ya Berkane..

Mechi ya Simba vs Assec kwa Mkapa, pamoja na simba kuongoza goli moja lakini Assec walionekana na utulivu mkubwa mno yaani ukiangalia uchezaji wao na Simba unaona ni mbingu na ardhi yaani wana kila kitu. Ilipotokea wamesawazisha lile goli ndio kabisa wakaendalea kuu win mchezo hadi pale ambapo kipa wao kafanya kosa ambalo hata kipa wa ndondo hawezi kufanya kosa lile, jambo ambalo likawatoa mchezoni. Ni tuko lililotokea kutokana na mazingira ya Simba wanapotumia uwanja wa mkapa
Gendarmerie yeye anauzuri gani tuanzie hapo Mana hata akishinda haendi popote hata akidraw bado haendi popote alafu isitoshe yeye mbona kwenye mechi 5 ana point tano tu kwenye kundi hili bado naona yeye ndio kibonde na akafatiwa na Simba kundi lote hili hakuna team ya Mana wote watakaopita kwenda hatua inaofata hawatavuka hatua hio Mana kwenye makundi mengine Kuna team za Mana huko
 
Hawana furaha kuiona simba inafanikiwa

So majungu lazima yawe mengi Sana pamoja na mapungufu ambayo simba anayo Lakin huwez ifananisha na Yanga kwa ubora.....
 
Mpira huwa na matokeo ya KIKATILI sana. Nadhani wadau wa soka tujiandae kisaikolojia, maisha sio marahisi kama jinsi tunavyowaza.

Tujiulize Simba ilifika je hapa kwenye michuano hii. Tulifanyiwa Surprise moja ya ajabu pale LUPASO, hakuna aliyeamini.

Hiyo team yenyewe tunajua ilipo now? Galaxy inashika mkia kwenye kundi lake na ni lazima itoke. Hii ni ishara kwamba simba inakuzwa na kelele na ma promotion yasiyo na tija, reality on the ground ni tofauti kabisa.

Asec inakikosi kizuri, mchezaji mwenye umri mkubwa pale ni miaka 22 , wapo energetic , young and smart, kile kikosi next FY kitakuwa ni moto.

Simba Ina changamoto nyingi, kuanzia kocha , kocha pablo hana psychological tags za kufundisha Africa, hilo ni tatizo moja wapo, Tatizo lingine ni Simba kuamini katika ujinga, huwezi kuwa timu ya ushindani na striker kama Kagere , au Mugalu , ni kupoteza muda.

Hakuna mpira wa inshallah inshallah, mpira ni Investment. Uki invest Vyema , likelihood ya kufika mbali ni kubwa.

Naishauri Simba ifanye usajili wenye tija na kuacha fantasy za mitandao au ushindani wa kugombea wachezaji na Yanga , ni ujinga.

Nendeni west Africa huko Burkinafaso, Ghana, Ivory’s Cost , Cameroon , kuna vitoto vipo safi na wana miili mizuri na wana Nature za kimpira.... acheni kukomaa na watu wazeee , mnatoa expectation kubwa kwa mashabiki halafu uhalisia ni kubahatisha.

Hata ile timu ya Morocco , hamkuifunga, ukweli ni kwamba Mlifungwa But fitna ilitawala.

Kufungwa na Asec Goli 3 na Penati 2 , huo ndio uwezo wenu, vile vitoto vingi ni under 20 vina spirit na ndoto za ku Excel soka lao la kulipwa huko ulaya.

Yaani hata Simba ikifika Robo fainali, asilimia 95% , hapo ndio itakuwa ni mwisho wao. Hakuna kikosi cha kucheza nusu fainali.

Pamoja na yote , Simba ana asilimia 55 ya kwenda mbele. Asec ana asilimia 50 ya kwenda mbele , BERKANE Ana asilimia 55 ya kwenda mbele, GENDERMARIE ana asilimia 15 ya kwenda mbele , pamoja na uchache wake, ni wazi wanaweza kumbania Mnyama asipite, yaani any suluhu, Simba Out.
Ukweli mchungu kumeza!.. Asec na Barkene wana mpira mkubwa kuliko ssc.. ukiwaangalia kwa umakini utagundua hilo.
 
ajabu sana Asec walifungwa hapa hakuna aliyeongea na kuwasifu au hata kuwatizama tu kwa jicho watu wakakausha. Leo nao wameshinda kwao watu eti ndio wanawaona bora na kuuona ubovu wa simba. Hii ndio bongo.
Wanachambua kwa mihemko tatizo lao
 
Ety kunishinda Namungo.. nambie mwaka huu nimefungwa na Timu gani Tz hii.. ? Zaidi ya ww kugawa uroda Mbeya na Bukoba.. Mtibwa tu humuwezi ww.. Nyie mshapwaya hamna Jambo mwaka huu mmebaki na wachezaji Wazee tu
 
Ukweli mchungu kumeza!.. Asec na Barkene wana mpira mkubwa kuliko ssc.. ukiwaangalia kwa umakini utagundua hilo.
Shemeji yangu Mama j , kalale muda ni huu wa kudungwa mkuki. Ya wanaume simba waachie wenyewe.
 
Acha mtokewa mnk mna misifa na midadi yasiuo na tija acha mtolewe tu na atakae watoa ndio atakaenda kucheza fainali mnakukbuka kaizer Chief
 
Acha mtokewa mnk mna misifa na midadi yasiuo na tija acha mtolewe tu na atakae watoa ndio atakaenda kucheza fainali mnakukbuka kaizer Chief
Roho ya kichawi hii. Mwisho wa siku mtaona aibu nyie ng'ombe fc
 
Back
Top Bottom