Simba SC Uwezekano wa Kutolewa upo

Simba SC Uwezekano wa Kutolewa upo

Una mhaho tulia uandike vizuri kenge wewe
Acha mtokewa mnk mna misifa na midadi yasiuo na tija acha mtolewe tu na atakae watoa ndio atakaenda kucheza fainali mnakukbuka kaizer Chief
 
Unadhani Gendarmerie watakuwa na mentality hiyo? Wao watakuwa na akili ya kutafuta alama tatu ili baada ya dakika 90 ndipo wajue nini kimetokea kwenye mechi ya Berkane..

Mechi ya Simba vs Assec kwa Mkapa, pamoja na simba kuongoza goli moja lakini Assec walionekana na utulivu mkubwa mno yaani ukiangalia uchezaji wao na Simba unaona ni mbingu na ardhi yaani wana kila kitu. Ilipotokea wamesawazisha lile goli ndio kabisa wakaendalea kuu win mchezo hadi pale ambapo kipa wao kafanya kosa ambalo hata kipa wa ndondo hawezi kufanya kosa lile, jambo ambalo likawatoa mchezoni. Ni tuko lililotokea kutokana na mazingira ya Simba wanapotumia uwanja wa mkapa
NI kweli asec walikuwa watulivu na utulivu wao ukapelekea wafungwe MAGOLI mengine mawili. Mwisho wa siku mechi ikaisha tatu moja,utulivu wenye matundu ni utulivu gani mazee. Mpira ni magoli na haswa magoli yakipelekea ushindi.simba anaweza tolewa ila si kwa dua na maombi ya wazandiki. WATANZANIA PENDANENI NA HII SI KWA SOKA TU HATA MAJUMBANI MWENU.
 
Sitegemei kuiona SSC ikifika kokote. Safu ya ushambuliaji Simba ni butu na haina madhara. Bora kipindi cha kina OKWINYO
 
kwa upande mmoja nakuunga mkono (investment) lakini sio kweli kwamba uki invest sana ndo utapata matokeo mazuri no garantee kuna mambo mengi sana unatakiwakuwa nayo ushinde michuano flani. ni timu ngapi zime invest zaidi ya simba na haifaka hatua alofika Simba? ukiwa na jibu utajua kuwa ushindi wa michuano sio investment peke yako. japo kikosi cha simba cha sasa sio kizuri sana ila mindset za simba itafikisha mbali katika michuano hii trust me mtu anakaa mapema kwa mkapa tukutane kwenye makundi.
 
Simba alishawahi kucheza zaidi ya Robo fainali michuano ya Klabu Bingwa Africa ?

Siku zote safari yake Huwa ni Roho Fainali baada ya Makundi, unajua ni kwanini . ?

Hata hii michuano safari yake mwisho ni Lazima iwe Robo fainal .

Kinachoibeba ni hiyo makundi; baada ya makundi anakuwa hana uwezo wa ku compete maana anakutana na hard proof inayompelekea kufika mwisho wa uwezo wake .

Hana kikosi cha kucheza nusu fainali .hapo ndio inakuja maana ya Investment.

Halikadhalika, umeshawahi kusikia Ahly imeshindwa Kuingia makundi au robo fainali ....? Why ?

kila Mwaka lazima icheze hizo nafasi , tofauti na Simba, leo atacheza Robo fainal , next season anatoka kwenye Preliminary Stage , no consistency , that is what we call Investment, yani Simba kucheza Robo Fainal au Makundi Sio Investment bali ni inshallah inshallah ya Rabi saidia
 
Halafu ni makosa sana kufikiri Gendermarie ni timu nyepesi.

Washabiki wengi wa kitanzania huwa wana ujinga mwingi sana ambao huenda huambukiza wachezaji pia.

Kwa watu makini wanaoufahamu mpira,hawawezi kuamini eti Genfermarie ni timu mbovu.

Simba bado ana mtihani mgumu sana kwa Mkapa na hasa kwa akili hii ya washabiki na coach waliye naye.Timu itakayoanzishwa ndo utajua ujinga wa coach.
Akianza Bwalya na Kagere tu ujue hilo ni pengo la wachezaji wawili tayari.
Kwavile wanategemea tuvitu vitu ili kushinda kwa Mkapa basi bila shaka watashinda. Mechi ambayo wanakuwa na uhakika wa matokeo huwa wanadharau kufanya mipango na mikakati yao kwavile wanajua moinzani wake ni wepesi wameshamaliza shuguli wakiwa away nyumbani kufa ni lazima. Hapa utaona kwenye mechi dhidi ya UD Songo walivyoenda kutoa sare ya bils bila basi hawakuwekea kwenye mbinu na mipango yao wakajiamini wakatolewa.

Mechi dhidi ya galaxy hivyo hivyo wakaenda away wakapata advantage ya magoli mawili wakaona hawa wepesi haina haja kutumia nguvu nyingi marudiano, tunawaweza kuwafunga kwa uwezo wa timu yety kilichotokea hapa ni balaa. Hivyo kwavile ni mechi ambayo inauwaumiza vichwa ili kufuzu basi itafanyika kila mbinu na slogan itatungwa kama kawaida na mwisho itapata ushindi
 
tafuta kwanza historia ya simba kwenye michuano ya kimataifa ndo uje na facts .
 
Hakuna namna hata mtuseme vibaya gendermarine lazima tutamfunga tu
Hahaaa!!"eti kwa mkapa hatoki mtu"Hiyo ni kanuni namba ngapi ktk mpira?!!
Hayo ni maneno tu ya kufarijiana baada ya kupigwa kitu kizito, ushindi unategemea na jinsi mlivyojipanga, hayo mambo yalikuwa zamani wakati mpira unachezwa gizani.
 
Sitegemei kuiona SSC ikifika kokote. Safu ya ushambuliaji Simba ni butu na haina madhara. Bora kipindi cha kina OKWINYO
Mategemeo si sawa na uhalisia lolote laweza tokea mpirani. Kosa la sisi watanzania ni kubishana sana wakati jambo lenyewe litawadia. Likiwadia tunabishana kwa lingine tutakalobuni baada ya lile la mwanzo. Na mara nyingi tunakuwa na chuki na kutokupenda mafanikio ya wengine. Timu hizi zote zinazokutana zote kwa mtu anaetazama vyema zina mapungufu ya wazi kabisa. ZOTE KATIKA KUNDI.
 
Mpira huwa na matokeo ya KIKATILI sana. Nadhani wadau wa soka tujiandae kisaikolojia, maisha sio marahisi kama jinsi tunavyowaza.

Tujiulize Simba ilifika je hapa kwenye michuano hii. Tulifanyiwa Surprise moja ya ajabu pale LUPASO, hakuna aliyeamini.

Hiyo team yenyewe tunajua ilipo now? Galaxy inashika mkia kwenye kundi lake na ni lazima itoke. Hii ni ishara kwamba simba inakuzwa na kelele na ma promotion yasiyo na tija, reality on the ground ni tofauti kabisa.

Asec inakikosi kizuri, mchezaji mwenye umri mkubwa pale ni miaka 22 , wapo energetic , young and smart, kile kikosi next FY kitakuwa ni moto.

Simba Ina changamoto nyingi, kuanzia kocha , kocha pablo hana psychological tags za kufundisha Africa, hilo ni tatizo moja wapo, Tatizo lingine ni Simba kuamini katika ujinga, huwezi kuwa timu ya ushindani na striker kama Kagere , au Mugalu , ni kupoteza muda.

Hakuna mpira wa inshallah inshallah, mpira ni Investment. Uki invest Vyema , likelihood ya kufika mbali ni kubwa.

Naishauri Simba ifanye usajili wenye tija na kuacha fantasy za mitandao au ushindani wa kugombea wachezaji na Yanga , ni ujinga.

Nendeni west Africa huko Burkinafaso, Ghana, Ivory’s Cost , Cameroon , kuna vitoto vipo safi na wana miili mizuri na wana Nature za kimpira.... acheni kukomaa na watu wazeee , mnatoa expectation kubwa kwa mashabiki halafu uhalisia ni kubahatisha.

Hata ile timu ya Morocco , hamkuifunga, ukweli ni kwamba Mlifungwa But fitna ilitawala.

Kufungwa na Asec Goli 3 na Penati 2 , huo ndio uwezo wenu, vile vitoto vingi ni under 20 vina spirit na ndoto za ku Excel soka lao la kulipwa huko ulaya.

Yaani hata Simba ikifika Robo fainali, asilimia 95% , hapo ndio itakuwa ni mwisho wao. Hakuna kikosi cha kucheza nusu fainali.

Pamoja na yote , Simba ana asilimia 55 ya kwenda mbele. Asec ana asilimia 50 ya kwenda mbele , BERKANE Ana asilimia 55 ya kwenda mbele, GENDERMARIE ana asilimia 15 ya kwenda mbele , pamoja na uchache wake, ni wazi wanaweza kumbania Mnyama asipite, yaani any suluhu, Simba Out.
Simba out ya kokoyo
 
kwa upande mmoja nakuunga mkono (investment) lakini sio kweli kwamba uki invest sana ndo utapata matokeo mazuri no garantee kuna mambo mengi sana unatakiwakuwa nayo ushinde michuano flani. ni timu ngapi zime invest zaidi ya simba na haifaka hatua alofika Simba? ukiwa na jibu utajua kuwa ushindi wa michuano sio investment peke yako. japo kikosi cha simba cha sasa sio kizuri sana ila mindset za simba itafikisha mbali katika michuano hii trust me mtu anakaa mapema kwa mkapa tukutane kwenye makundi.
Simba kwenye makundi akifuzu, robo fainali anaanzia kwa mkapa, Anamalizia ugenini, hapo ndio tutaona kiwango chao watakapocheza ugenini.
 
NI kweli asec walikuwa watulivu na utulivu wao ukapelekea wafungwe MAGOLI mengine mawili. Mwisho wa siku mechi ikaisha tatu moja,utulivu wenye matundu ni utulivu gani mazee. Mpira ni magoli na haswa magoli yakipelekea ushindi.simba anaweza tolewa ila si kwa dua na maombi ya wazandiki. WATANZANIA PENDANENI NA HII SI KWA SOKA TU HATA MAJUMBANI MWENU.
Mpira wa migumu una mambo mengi. Kuna makosa, kuna mbinu na ufundi halafu kuna kutokuwa au kuwa na bahati. Ile mechi ilikuwa Assec wameuchukua mchezo ila kipa wao ndiye aliyewatoa mchezoni kwa mistake aliyoifanya.
 
Back
Top Bottom