Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 925
Chezeya manji weye!Kudadeki mpira umedakwa ? Haahhaha siku ya kufa nyani
Huyu Canavaro naye aache Usenge,hii game ya kulipa kisasi
Haya aanze kufanya booking kwa mafisango; haiwezekani tuumie mioyo hapa then yy akose penati hivihivihivi; Afanye booking huyo kwa mafisango harakaSimba wanakosa penat kupitia wiliam lucian,ng'ombe wa masikini hazai.MIA
Huyu fa** kapiga penalt kama bibi kizee kulaleki ngoja wafungwe tu
Kakosaaaaaaaaa!
Nipo mpwa Raha kubeba ndoo raha kumfunga mnyama
Haya aanze kufanya booking kwa mafisango; haiwezekani tuumie mioyo hapa then yy akose penati hivihivihivi; Afanye booking huyo kwa mafisango haraka
Mkuu upo...?Yani unamsifia kudaka kimpirakimepigwa kama shuti la mlevi
Nilitamani kulia lakini chozi halikutoka.usinikumbushe ya bocco haram morocco