Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Twite nipe raha,namna gan bwana
Hiyo twita haichelewigi kuchoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twite nipe raha,namna gan bwana
wamekosa hadi penati? Yuhuuu.,...
Twite nipe raha,namna gan bwana
Hiyo twita haichelewigi kuchoma.
Subiri faulo itokee kona simba wamepiga
Mbona yosso wapo wawili tuPenalt wanapewaga wachezaji wazoefu poleni vijana
Ngoja ninywe chai, angalau nipate nguvu.
Pole sana lakini mpira bado haujaisha lolote linaweza kutokea....Umeona Katavi, siyo uoga yaani nimelog off hii Uhuru kwanza huenda wao ndio source ya kufungwa maana redio yenyewe kijani, na yanga kijani; si wanaweza kufanya kampeni ya kutangaza goli la bandia ili kutuumiza wasikilizaji
Ngoja ninywe chai, angalau nipate nguvu.
Penalt wanapewaga wachezaji wazoefu poleni vijana
Yanga kama Libolo!