Simba SC v Young Africans SC

Simba lazima wazikwe leo kwa sababu walishakufa siku nyingi!
 
Yanga leo wamejipanga vizuri, Chuji na Niyozima wamesimama kisawasawa, leo mnyama anatakiwa ale is chini ya tatu.
 
Kwani huko Dara mvua haijanyesha leo, mbona huku mvua imenyesha jamani au siku hizi mvua sio dili tena
 
Nam'miss mchezaji wa aina ya Salum Kabunda "Ninja" mida hii tayari Chanongo angekuwa jukwaani anaangalia wenzake
 
Umeona Katavi, siyo uoga yaani nimelog off hii Uhuru kwanza huenda wao ndio source ya kufungwa maana redio yenyewe kijani, na yanga kijani; si wanaweza kufanya kampeni ya kutangaza goli la bandia ili kutuumiza wasikilizaji
Pole sana lakini mpira bado haujaisha lolote linaweza kutokea....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…