WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
simba line up: Juma kaseja, nassor masoud 'chollo', haruna shamte, shomari kapombe, mussa mudde, william lucian, mwinyi kazimoto, abdallah seseme, mrisho ngassa, amri kiemba na haruna chanongo. Sub: Abel dhaira, miraji adam, ramadhan singano 'messi', felix sunzu, christopher edward, jonas mkude na hassan mkude
hivi wakuu kuna yosso hapo?......
Naona neno yosso lilishapoteza maana siku hizi ....eti kaseja, cholo, ngassa, kiemba, mudde, kazimoto na kapombe nao wanaitwa yosso
Mkuu jiamini bhana!Bado dakika 45 zingine kubwa hapa ni kuomba mkuu tushinde,lakini hivi viapo ni kazi.
Mkuu habari ja kupotea, karibu jukwaa kuu hapa tunaaangalia Yanga wanavyoinyanyasa simba.
Btw, Sasa kama huyo profesheno ndio anapiga kama mlevi, vipi sasa hao wadengereko wenzako?
washazoea kula broila..
Simba line up: Juma Kaseja, Nassor Masoud 'Chollo', Haruna Shamte, Shomari Kapombe, Mussa Mudde, William Lucian, Mwinyi Kazimoto, Abdallah Seseme, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba na Haruna Chanongo. Sub: Abel Dhaira, Miraji Adam, Ramadhan Singano 'Messi', Felix Sunzu, Christopher Edward, Jonas Mkude na Hassan Mkude
Hivi wakuu kuna Yosso hapo?......
Naona neno Yosso lilishapoteza maana siku hizi ....Eti Kaseja, Cholo, Ngassa, Kiemba, Mudde, Kazimoto na Kapombe nao wanaitwa Yosso
Unaenda kumfanyia nani?Kama niingie uwanjani nikafanye fujooooh!
Nyie wepesi sana kutukana halafu mkiambiwa ukweli mnakimbilia kwa Mods,Mods mimi nawaomba hawa jamaa wamezoea sana kutukana waacheni tu kwa sababu wanayoambiwa yako wazi,tatizo hawapendi ukweli,kwani Kuna ubishi kwamba Simba hakufungwa na Libolo?!,ni Kweli alifungwa na yawezekana sasa hivi anali/anawakumbuka baada ya hako kamoja kwa sababu hao wao waliwafanyia hivyo hivyo.
Kaka kwa taarifa yako tu,hii team ya Simba ya mwaka huu inachezaga kipindi cha kwanza tu ambacho wamekaza na hatimaye kufungwa goli 1 tu,sasa subiri kipindi cha 2 uone goli zitakavyokuwa zinamiminikaKipindi cha kwanza cha yanga cha pili cha mnyama
Wakuu ningependa kujua kujua kama Simba walitoa guard of honour kwa Mabingwa. Kama hawakufanya hivyo itabidi tu Yanga waongeze adhabu kwa kuwachapa mabao kibao.
kwahiyo simba ni dume la ng'ombe au yanga?
Umelimiss eeh?
Ndio iliyobaki mkuu ili wikendi isiharibike zaidi.bora ujinywee tu maana unaweza kufa..
matokeo yatabaki hivi hivi..
kwa nini mkuu...