Simba SC v Young Africans SC

Simba SC v Young Africans SC

simba line up: Juma kaseja, nassor masoud 'chollo', haruna shamte, shomari kapombe, mussa mudde, william lucian, mwinyi kazimoto, abdallah seseme, mrisho ngassa, amri kiemba na haruna chanongo. Sub: Abel dhaira, miraji adam, ramadhan singano 'messi', felix sunzu, christopher edward, jonas mkude na hassan mkude

hivi wakuu kuna yosso hapo?......

Naona neno yosso lilishapoteza maana siku hizi ....eti kaseja, cholo, ngassa, kiemba, mudde, kazimoto na kapombe nao wanaitwa yosso

wao wanasema hivyo?!!
 
Mkuu habari ja kupotea, karibu jukwaa kuu hapa tunaaangalia Yanga wanavyoinyanyasa simba.

Btw, Sasa kama huyo profesheno ndio anapiga kama mlevi, vipi sasa hao wadengereko wenzako?

washazoea kula broila..

Simba line up: Juma Kaseja, Nassor Masoud 'Chollo', Haruna Shamte, Shomari Kapombe, Mussa Mudde, William Lucian, Mwinyi Kazimoto, Abdallah Seseme, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba na Haruna Chanongo. Sub: Abel Dhaira, Miraji Adam, Ramadhan Singano 'Messi', Felix Sunzu, Christopher Edward, Jonas Mkude na Hassan Mkude

Hivi wakuu kuna Yosso hapo?......

Naona neno Yosso lilishapoteza maana siku hizi ....Eti Kaseja, Cholo, Ngassa, Kiemba, Mudde, Kazimoto na Kapombe nao wanaitwa Yosso



Wakuu ningependa kujua kujua kama Simba walitoa guard of honour kwa Mabingwa. Kama hawakufanya hivyo itabidi tu Yanga waongeze adhabu kwa kuwachapa mabao kibao.
 
Leo Radio Uhuru wamenikumbusha mbali sana, wanapiga kitu Kalunde cha Msondo Ngoma, nasikia sauti ya marehemu Momba, TX Moshi na Joseph Maina.
 
Nyie wepesi sana kutukana halafu mkiambiwa ukweli mnakimbilia kwa Mods,Mods mimi nawaomba hawa jamaa wamezoea sana kutukana waacheni tu kwa sababu wanayoambiwa yako wazi,tatizo hawapendi ukweli,kwani Kuna ubishi kwamba Simba hakufungwa na Libolo?!,ni Kweli alifungwa na yawezekana sasa hivi anali/anawakumbuka baada ya hako kamoja kwa sababu hao wao waliwafanyia hivyo hivyo.

Ahsante Mkuu, kuna watu wanafiki sana humu ndani halafu wanajiita watakatifu, narudia tena YANGA KAMA LIBOLO!
 
Kipindi cha kwanza cha yanga cha pili cha mnyama
Kaka kwa taarifa yako tu,hii team ya Simba ya mwaka huu inachezaga kipindi cha kwanza tu ambacho wamekaza na hatimaye kufungwa goli 1 tu,sasa subiri kipindi cha 2 uone goli zitakavyokuwa zinamiminika
 
Yanga leo wameikamata dimba kinoma.
Yani Simba ili walete kaupinzani inabidi wamuingize Sunzu Ngassa atoke.
 
Back
Top Bottom