Simba SC v Young Africans SC

Hii post imejaa ushabiki, sioni anaeripoti kwa nidhamu.

Nadhani hauongelei SIASA... SIMBA ni Timu Nzuri -- Usiwe na Shaka nafasi ya TATU ni Nzuri kuliko kushika nafasi ya NNE
 
Analilia nini huyo kwani hakujua kama LIBOLO litawalibolo leo.

kwi kwi kwi

kweli ukimwa n'toto kila kitu unakitazama kwa sura moja tu

ukikua utajua maana ya ile post

kwi kwi kwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…