samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
Kaseja anapoteza muda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu pole kumbe ulikuwepo
Kaseja anapoteza muda
Leo ni siku nyingine katika historia ya Yanga na Simba. Yanga iliandika historia ya kuitandika Simba goli 5-0 hapo tar. 01/06/1968. Simba ilijibu mapigo kwa kuicharaza Yanga 6-0 tar. 19/07/1977. Simba ililipa kichapo cha 5-0 cha mwaka 1968 tar. 06/05/2012. Hadi sasa Yanga haijalipa kichapo cha 6-0 cha 1977. Je, Yanga itaifunga Simba 6-0 leo?
(Data frm Bin ZUBEIRY).
Uko timu gani kwa sasa mkuu.
Mkuu pole kumbe ulikuwepo
Leo yanga full shangweeeeeeeeeeeeeee...........................mtakoma.
Juma Kapuyu ... Chali
Ndugai chali...............
Zitoo Chali.................
Maji marefu oooooooooooooohhhh.......na uganga wake wamechemshaaaaaaaaaaaaa
Leo yanga full shangweeeeeeeeeeeeeee...........................mtakoma.
Juma Kapuyu ... Chali
Ndugai chali...............
Zitoo Chali.................
Maji marefu oooooooooooooohhhh.......na uganga wake wamechemshaaaaaaaaaaaaa
Jioni ya leo karibuni hapa
Dk zilizo bakia huwezi mtuma mtoto sokoni