Simba SC v Young Africans SC

Leo yanga full shangweeeeeeeeeeeeeee...........................mtakoma.

Juma Kapuyu ... Chali

Ndugai chali...............

Zitoo Chali.................

Maji marefu oooooooooooooohhhh.......na uganga wake wamechemshaaaaaaaaaaaaa
 
Wanajf nanyinyi mwaishi mbali nini? Naona mshatoka, safarini njema hasa watani wangu simba
 
Jioni ya leo karibuni hapa
 
Attachments

  • Simba kapakatwa.jpg
    19.8 KB · Views: 66
Zinawatosha hizo 'nyambafu'
Naona mashabiki wa Simba wanaondoka sasa.
 
Leo yanga full shangweeeeeeeeeeeeeee...........................mtakoma.

Juma Kapuyu ... Chali

Ndugai chali...............

Zitoo Chali.................

Maji marefu oooooooooooooohhhh.......na uganga wake wamechemshaaaaaaaaaaaaa

hata nassari
 
kwikwikwkwiiiii...
 
Muda haujaisha tu, bora yaishie haya haya mawili; maana hawa ndala wanataka sifa sana hawachelewi kuongeza.
 
duu bongo raha yaani jamaa anashika kombe kiulaini tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…