Simba SC v Young Africans SC

Simba SC v Young Africans SC

ahahahahahhh, masuke, mwambie tu kitoabu aje, nitampa na wine kdg ili asione maruweruwe usingizini, kushinda raha jamani, ona kitoabu anavyohaha kutafuta pa kulala, njoo pande hii mwaya nitakufadhili tu
Mwambie
ram akukaribishe kwake, ingawa na yeye ni Yanga
lakini atakuelewa kwa sababu ni mwajf mwenzako.
 
Last edited by a moderator:
Leo nilikuwepo uwanjani wala sikukumbuka kurusha updates kwa namna soka safiii la vijana wa Jangwani lilivyoteka mboni za macho yangu.
Muda wote nilikuwa na washikaji zangu wa Tawi la Yanga la Ukombozi Keko...
 
attachment.php

Ni kazi kubwa sana kuunyamazisha huu umma wa wafuasi wa libolouploadfromtaptalk1368901413674.jpg
 
Hii Huwa Inanifariji sanaaa. Nikiwa Pembeni na K...na Bariiiidi
Simba baada yatwaa ubingwa1-5.jpg
 
Kwa nini kaka, mbona timu inacheza vizuri tu...au kuna mambo ya kiutawala hayajakaa sawa?

Mkuu uongozi haujakaa sawa, pale kuna utulivu tu hakuna amani....pakiwa vibaya jikoni usitegemee msosi wa nguvu, hakuna asiyejua ka timu imegawanywa
 
6-0
4-1
4-1
5-0

Watabadilishana uenyekiti wa klabu lakini watastaafu na madeni ya vipigo hivyo!
 
6-0
4-1
4-1
5-0

Watabadilishana uenyekiti wa klabu lakini watastaafu na madeni ya vipigo hivyo!

Mkuu umepost 04:20hrs, hukupata usingizi? Yanga ni bingwa wa ukweli hata SS9 East wamedhihirisha hilo na watu wote Afrika na duniani kote wameona hivyo, basi mashabiki wa Simba bakini na 6-0, 4-1, 4-1 na 5-0: Farijianeni kwa maneno hayo.
 
32.jpg

25.jpg

27.jpg


Picha kwa hisani ya Blog ya Mahmoud Zubeiry a.k.a Bin Zubeiry
 
Back
Top Bottom