Malipo kwamungu
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 574
- 86
Kwa refa au kwa wachezaji?zisipofika sita leo manji adai pesa yake
your calculation is too retrospective.we are speaking of the present and future not past and unknown5-2 on aggregate
Mwambie
ram akukaribishe kwake, ingawa na yeye ni Yanga
lakini atakuelewa kwa sababu ni mwajf mwenzako.
Watangazaji wa supersport wanampendekeza Chuji kuwa MTM ngoja tusubiri tff watasemaji..
Cholo vp tena yahee
Chuji alitulia sana leo...kamtuliza Amri Kiemba mwanzo mwisho...
Rage akiachwa Simba tutegemee kushuka daraja msimu ujao
c.c Ben Saanane
Kwa nini kaka, mbona timu inacheza vizuri tu...au kuna mambo ya kiutawala hayajakaa sawa?
tumetoka taifa huku tunaimba Rage kabong'ooa Twite kamtia Dol£
Hii Huwa Inanifariji sanaaa. Nikiwa Pembeni na K...na Bariiiidi
View attachment 94272
Poleni sana mashabiki wa simba sasa kungana kwa nguvu moja mzee wa tabora ang'oke tu
6-0
4-1
4-1
5-0
Watabadilishana uenyekiti wa klabu lakini watastaafu na madeni ya vipigo hivyo!